Nini kinamfanya Emmanuel Nchimbi kuwa na furaha muda wote kuliko kiongozi yeyote nchini?

Nini kinamfanya Emmanuel Nchimbi kuwa na furaha muda wote kuliko kiongozi yeyote nchini?

Wee naye acha nyege 😹😹

Kwahiyo ndo unaiomba hivyo?? 😹
Ila wewe nakuliaga timing yani nikija kukupata ...

Screenshot_20251124_121501_Chrome.jpg

adriz
 
Nadhani huyo ndio Brother atakaesimamia mageuzi na kutupa katiba ya warioba!!

"Wabunge lazima wawe na masters"

Hakuna vyeo vya "Rcs,Da's,wakuu wa wilaya,Ras n.k"

Mafao kufutwa na wafanyakazi kupunguzwa Ili wabaki wachache watakao lipwa vizuri!

Rejea andiko la Tumia akili!
Acheni ujinga, uchaguzi hatujafanya hakuna rais wala makamu nchi hii.

Nchimbi ni muhaini kama Samia hakuna exception, wameiba wote wahukumiwe wote kwa masosa yao.

Hawezi kuwa sehemu ya solution, yeye ni mwizi kama samuya na wenzake.
 
Unajua kazi ya mbunge ni Nini? Kazi ya bunge sio tu kuchangia miswaada pekee ni pamoja na kuwasilisha shida za wananchi, hivi wabunge wote wakiwa na masters Nani ataweza kwenda ndani ndani mwa Jimbo lake kujua changamoto zinazowakabili wananchi wake? Mnawadharau wakina babalevo lakini ndio huwa wanakuwa karibu sana na wananchi kuliko hata hao wenye Elimu kubwa.Sisi mbunge wetu ni Professor Kitila Mkumbo hakuna chochote alichofanya kwenye Jimbo
Nenda shule hacha uhuni kua na masters kunakuzuia kwenda kijiji unapokubalika ukagaombea siku hizi wasomi wengi hata wenye masters wengi wako zao vijijini wageni ni wakulima
 
Nenda shule hacha uhuni kua na masters kunakuzuia kwenda kijiji unapokubalika ukagaombea siku hizi wasomi wengi hata wenye masters wengi wako zao vijijini wageni ni wakulima
Wewe unazungumza Kama vile hauishi bongo wenzako wanaelewa mbongo akishakuwa na Elimu kubwa hawezi ukujiangaisha na hivyo vitu
 
Acheni ujinga, uchaguzi hatujafanya hakuna rais wala makamu nchi hii.

Nchimbi ni muhaini kama Samia hakuna exception, wameiba wote wahukumiwe wote kwa masosa yao.

Hawezi kuwa sehemu ya solution, yeye ni mwizi kama samuya na wenzake.
Kiongozi anahalalishwa na sanduku la kura!
Athari na dosari zitafanyiwa kazi tu,

Dosari za uchaguzi zipo Duniani kote!

Kilichotokea October ni dosari na lazima viongozi wawajibike!madam president atawajibika na kiwapa wengine fursa ya uongozi!!

Nadhani!
 
Hapa hatukupiga kura, walipiga wao kura za mezani na calculator, hatukuwa na kasoro bali hatukuwa na uchaguzi kabisa.

Kasoro zina rekebishika , lakini huwezi kurekebisha ambacho hakipo au hakikufanyika.

Mwizi no mwizi hatuna rais wala serikali.
 
Back
Top Bottom