Nini kinamfanya Emmanuel Nchimbi kuwa na furaha muda wote kuliko kiongozi yeyote nchini?

Muache acheke vya mwisho maana nyakati ngumu zinakuja mbele yake. Hakutakuwa na kucheka ni majuto tu!!
 
Unajua kazi ya mbunge ni Nini? Kazi ya bunge sio tu kuchangia miswaada pekee ni pamoja na kuwasilisha shida za wananchi, hivi wabunge wote wakiwa na masters Nani ataweza kwenda ndani ndani mwa Jimbo lake kujua changamoto zinazowakabili wananchi wake? Mnawadharau wakina babalevo lakini ndio huwa wanakuwa karibu sana na wananchi kuliko hata hao wenye Elimu kubwa.Sisi mbunge wetu ni Professor Kitila Mkumbo hakuna chochote alichofanya kwenye Jimbo
 
Huyu October roho yangu imegoma kabisa kumuamini… kueni makini guys anapoteza watu maboya huy!
Tangu nimjue huyu jamaa huwa Hana roho mbaya Kama huyu Samia hata ukimsikiliza awamu hii unaona kabisa hayupo na mama hatoi kauli za kujimaliza Kama wanavyofanya machawa wakina msigwa kwa sababu anatunza heshima yake
 
Anafikiri mission yake imefanikiwa ila ambachi hatambui uchaguzi ni batili hata yeye hatambuliki
 
Wote hao Nchimbi na Mwigulu hatuwataki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…