Nini kinamfanya Emmanuel Nchimbi kuwa na furaha muda wote kuliko kiongozi yeyote nchini?

Acheni ujinga, uchaguzi hatujafanya hakuna rais wala makamu nchi hii.

Nchimbi ni muhaini kama Samia hakuna exception, wameiba wote wahukumiwe wote kwa masosa yao.

Hawezi kuwa sehemu ya solution, yeye ni mwizi kama samuya na wenzake.
 
Nenda shule hacha uhuni kua na masters kunakuzuia kwenda kijiji unapokubalika ukagaombea siku hizi wasomi wengi hata wenye masters wengi wako zao vijijini wageni ni wakulima
 
Nenda shule hacha uhuni kua na masters kunakuzuia kwenda kijiji unapokubalika ukagaombea siku hizi wasomi wengi hata wenye masters wengi wako zao vijijini wageni ni wakulima
Wewe unazungumza Kama vile hauishi bongo wenzako wanaelewa mbongo akishakuwa na Elimu kubwa hawezi ukujiangaisha na hivyo vitu
 
Awamu ya nyuma ilianza hivi hivi mtu kuwa anatumwa tumwa nje,.
 
Acheni ujinga, uchaguzi hatujafanya hakuna rais wala makamu nchi hii.

Nchimbi ni muhaini kama Samia hakuna exception, wameiba wote wahukumiwe wote kwa masosa yao.

Hawezi kuwa sehemu ya solution, yeye ni mwizi kama samuya na wenzake.
Kiongozi anahalalishwa na sanduku la kura!
Athari na dosari zitafanyiwa kazi tu,

Dosari za uchaguzi zipo Duniani kote!

Kilichotokea October ni dosari na lazima viongozi wawajibike!madam president atawajibika na kiwapa wengine fursa ya uongozi!!

Nadhani!
 
Hapa hatukupiga kura, walipiga wao kura za mezani na calculator, hatukuwa na kasoro bali hatukuwa na uchaguzi kabisa.

Kasoro zina rekebishika , lakini huwezi kurekebisha ambacho hakipo au hakikufanyika.

Mwizi no mwizi hatuna rais wala serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ