Nini kinamfanya mtu muda wake mwingi anakuwa TOXIC sana kwa watu?

Design Your Idea

Senior Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
154
Reaction score
480
Kuna watu ambao ndimi zao ni kama za nyoka

Mioyo yao imekunjamana

Macho yao yamejaa moto

Vidole vyao vya ku-type vina upanga

Kauli zao ni za kukatisha tamaa

Lugha yao ni matusi.

Nini ni sababu ya haya yote ambapo unakuta mtu robo tatu ya siku yake anachagua kuwa hivi utafikiri ametumwa na shetani
 
Malezi , familia aliyo toka toxic behaviour ni swala la kawaida, or traumatic wvent ili mkuta na ku alter his core personality

Mara nyingi ni hivyo viwili
 
Mkuu
Kuna wajinga sana humu halafu masikini wa kutupwa au wanaishi kwa shemeji zao
Jitu lina ID 10 huyu kweli ana maisha?
Hii ID yangu ni kula sahani moja na mipumbavu humu, zamani JF ilikuwa mtandao poa sana, ila siku hizi kumejaa mijitu ina udini na upumbavu mwingine wa kijingajinga, hii ID ya Makebo wataoma nayo labda ifugiwe maisha
nina ID za utulivu za kuchangaia mada hasa za elimu na sayansi wala sina mambo siasa
sasa tuone hao wapumbavu na maisha yangu, hapa niko back garden napunga upepo baada ya mazoezi, sasa nani anateseka ?

View attachment 3646555
Uache utoto na ujinga na uzumbukuku.
 
Mara nyingi tabia hiyo hutokana na chuki, majeraha ya ndani, wivu, hasira, kutoridhika na maisha au malezi/mazingira aliyokulia.

Lakini pia wengine huchagua tu kuwa wakatili na hasi, kwa sababu wamezoea au wanapata furaha kwa kuwaumiza wengine.

Moyo usio na amani mara nyingi huzalisha maneno yasiyo na amani.
 
Unajua ndio maana wale wenzetu kila mtu anajijua mwenyewe. Nafikiri waligundua hii kitu mapama sana.Sisi huku kwetu ujamaa mwingi sana, kila mtu is into your business. Urafiki na ujamaa mwingi sana. No body is there for you in this life. Binadamu wanataka wakutumie kiuchumi, hurt feelings, wakuache umechakaa wakucheke. Take care of yourself guys. Hii Dunia ni ushetani mtupu
 
Ni kweli mkuu,
Ukaribu wa kijamii ni mzuri, lakini ukizidi unaweza kupelekea watu kuingilia maisha yako, kukutumia au kukuumiza.

Lakini si sahihi kusema kila mtu ni mbaya. Tujifunze kujilinda, kuchagua watu kwa umakini, tuweke mipaka na tusitegemee kila mtu lakini pia tusipoteze imani kwa binadamu wote.
 
Mtu mwenye hasira na chuki kwa wengine mara zote inaashiria kwamba mtu huyo hujichukia yeye mwenyewe na kujikasirikia.

Ni kama kioo kinachojiakisi kwa wengine. Hali yao ya ndani huwa ni mbaya sana.

Yale yote mabaya anayoyafanya kwa wengine, ndio haswa mambo yanayomsibu yeye mwenyewe.

Cc: Lamomy min -me Mbaga Jr secretarybird Dr. Mariposa binti kiziwi mama mkwe
 
Basi ndio maana mtu kama Makebo almaarufu matako anatukana watu kuanzia asubuhi hadi muda huu😁, ngojea uone comment yake hapo chini😁
 
Choxo ulienda kutoa ushuhuda kwenye huu uzi jinsi ulivyaanza kuchepuka kutumia njia ya mavi ?

Back
Top Bottom