Design Your Idea
Senior Member
- Jun 3, 2024
- 154
- 480
Malezi , familia aliyo toka toxic behaviour ni swala la kawaida, or traumatic wvent ili mkuta na ku alter his core personalityKuna watu ambao ndimi zao ni kama za nyoka
Mioyo yao imekunjamana
Macho yao yamejaa moto
Vidole vyao vya ku-type vina upanga
Kauli zao ni za kukatisha tamaa
Lugha yao ni matusi.
Nini ni sababu ya haya yote ambapo unakuta mtu robo tatu ya siku yake anachagua kuwa hivi utafikiri ametumwa na shetani
Uache utoto na ujinga na uzumbukuku.Mkuu
Kuna wajinga sana humu halafu masikini wa kutupwa au wanaishi kwa shemeji zao
Jitu lina ID 10 huyu kweli ana maisha?
Hii ID yangu ni kula sahani moja na mipumbavu humu, zamani JF ilikuwa mtandao poa sana, ila siku hizi kumejaa mijitu ina udini na upumbavu mwingine wa kijingajinga, hii ID ya Makebo wataoma nayo labda ifugiwe maisha
nina ID za utulivu za kuchangaia mada hasa za elimu na sayansi wala sina mambo siasa
sasa tuone hao wapumbavu na maisha yangu, hapa niko back garden napunga upepo baada ya mazoezi, sasa nani anateseka ?
View attachment 3646555
Wivu na low self esteem.
Kafungue geti shemeji amerudiUache utoto na ujinga na uzumbukuku.
Nimekuja mama watoto, lete habar
Mara nyingi tabia hiyo hutokana na chuki, majeraha ya ndani, wivu, hasira, kutoridhika na maisha au malezi/mazingira aliyokulia.
Lakini pia wengine huchagua tu kuwa wakatili na hasi, kwa sababu wamezoea au wanapata furaha kwa kuwaumiza wengine.
Moyo usio na amani mara nyingi huzalisha maneno yasiyo na amani.
Ni kweli mkuu,Unajua ndio maana wale wenzetu kila mtu anajijua mwenyewe. Nafikiri waligundua hii kitu mapama sana.Sisi huku kwetu ujamaa mwingi sana, kila mtu is into your business. Urafiki na ujamaa mwingi sana. No body is there for you in this life. Binadamu wanataka wakutumie kiuchumi, hurt feelings, wakuache umechakaa wakucheke. Take care of yourself guys. Hii Dunia ni ushetani mtupu
Bichwa ulale sasaMtu mwenye hasira na chuki kwa wengine mara zote inaashiria kwamba mtu huyo hujichukia yeye mwenyewe na kujikasirikia.
Ni kama kioo kinachojiakisi kwa wengine. Hali yao ya ndani huwa ni mbaya sana.
Yale yote mabaya anayoyafanya kwa wengine, ndio haswa mambo yanayomsibu yeye mwenyewe.
Cc: Lamomy min -me Mbaga Jr secretarybird Dr. Mariposa binti kiziwi mama mkwe
Basi ndio maana mtu kama Makebo almaarufu matako anatukana watu kuanzia asubuhi hadi muda huu😁, ngojea uone comment yake hapo chini😁Mtu mwenye hasira na chuki kwa wengine mara zote inaashiria kwamba mtu huyo hujichukia yeye mwenyewe na kujikasirikia.
Ni kama kioo kinachojiakisi kwa wengine. Hali yao ya ndani huwa ni mbaya sana.
Yale yote mabaya anayoyafanya kwa wengine, ndio haswa mambo yanayomsibu yeye mwenyewe.
Cc: Lamomy min -me Mbaga Jr secretarybird Dr. Mariposa binti kiziwi mama mkwe
Choxo ulienda kutoa ushuhuda kwenye huu uzi jinsi ulivyaanza kuchepuka kutumia njia ya mavi ?Basi ndio maana mtu kama Makebo almaarufu matako anatukana watu kuanzia asubuhi hadi muda huu😁, ngojea uone comment yake hapo chini😁