Nini kinamkwamisha Harmonize kufikia malengo anayoyatamani?

Mlidhani Harmonize atakuwa kama Rich Mavoco...pumbavuuuu zenu.
Unajua kuna vitakata vinatamani kila jambo zuri na jema liwe lao.

Dunia haijaumbwa hivyo hata siku moja.
 
Umepiga pale pale penyewe, halafu panapouma sasa.
 
Hii uliyoipiga hapa chini kwenye hip hop tunaita punch line.umeua Sana very smart
 
Point ni moja tu! Hajui kuimba ma nyimbo zake hazina viwango vya kutizamwa Nigeria,Sudan,Ivory coast,Chad n.k hana colabo yoyote ya kumtambulisha kimataifa,hana tuzo yoyote ya kimataifa,hana ubunifu wowote zaidi ya kumuiga Diamond. sasa huyu anatofauti gani na Best Nasso??
 
Sio kwa Harmonize huyu wa leo.
Yule harmonize aliyeimba Aiyola na Bado ,sawa.

Sa hiz sielewi Harmonize anaimba vitu gani.
Trust me, hata yeye haelewi
Zile post zake za insta now mnamuona kabisa hata yeye hii hali inamstress.
Na hajajua afanye nn , na hatajua tu.

Basi wacha tu aendelee kuongeza nyama za tumbo.
 
Sahihi kabisa
 
Sahihi kabisa
Aggrey nasikia umetekelekeza familia upareni sasa hivi unapuyanga kukata mauno kwenye mashughuli Kinondoni🤣

Zee zima halafu sukule. Kesho tena kuna mtiti kati Domokaya na CDM utachagua tena CDM au utakaa upande wa muhogo wako ?

Aisee hii dunia🤣
 
Mbona unamshambulia mwenzio wakati wewe pia ni wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…