Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Hoyo mama namkubali sana.
Kwanza ni mzuri halafu hana dharau na mtu zaidi ya uadilifu wake na kufanya kazi kitaaluma bila maneno mengi.

Angefaa kuwa Makamu wa Rais 2025 endapo CCM itarudi madarakani kwa kumsimamisha Mzanzibari.

Anafaa sana kuwa waziri.
Chapa kazi bila kuchoka mama ,mh.Rais amekuamini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
She is just incapable! Kuna mabaki ya wale waliobebwa tangu awamu ya 4, ambao ukiwaangalia utendaji wao hauna tija, hauna ubunifu, hawajiongezi! FINITO!
 
Huyu mrembo nadhani roho nzuri ndiyo inamdhuru. Hata akijitahidi awe kama Ndugai hawezi.
 
Mission completed, next ministry. Huyo ni kitengo muogope kama ukoma!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaenda kuweka mipango then anahama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…