Nini kinasababisha Watu wazima kuwa na akili za kitoto?

Ooh hapo nimekuelewa tajiri mbaga!

Ila kweli au ndio tumebebeana madem sio? Saingine ukiwa unapitia kipindi fulani unajivua utimamu wako unaanza kujianika mpaka unaonekana kama unataka kuchanganyikiwa! Kumbe saingine unatype huku unaliaπŸ˜…
 
Yah, mm Niliwah kupitia kipindi kigumu mpaka nilikuwa nacheka.
Sasa ukiniona Utadhani Chizi
 
Tamaa za mwili haziangalii cheo chako au status uliyonayo.
Kuongoza tamaa za mwili kunategemea sana na uwezo wako wa ndani wa kujidhibiti na siyo cheo ulichonacho.
 
Hatuwapatii upenyo 😁
Wazee gani hamlali mapema
Huko ma ofsin hamtaki kuachia seat
Ili na sisi tukae 😎
Wazee tunaenda na trendy hapa tuko juu ya meza na makombolelo.
Huko ofisini usiwazie kabisa,, tulisha rudisha umri nyuma tunakua hatuzeeki.
Bila Figo kufeli au ajali ya kifo viti mtavisikia ajira portal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…