Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

Sera ya tangia Nyerere hiyo, mwisho wao A level tu.

Serikali ikiwagharamia kuwasomesha, hukimbilia Canada kwenda kutafuta kazi na makazi(hasa wahindi), Serikali inakosa return yao pamoja na impact ya elimu yao.
 
bashe tu mnamwita msomali bwana patel akiwa waziri si mtaandamana
 
Kina sisi tumekazana kurogana na kupigana majungu. Hawa wenzetu wanajijenga kupata global skills ili mkiwazingua Tanzania, waende sehemu nyingine
 
Hujafuatilia tu.
Shabibi mbona ni mbunge Dodoma.
Abood alikua mbunge Morogoro.
Marehemu Yusuf Manji alikua Diwani Mbagala.
Ubunge si ajira rasmi, Shabib na Abood wapo bungeni kwa maslahi yao binafsi kijana.

Ukitaka kufanya biashara bila bughudha katika nchii hii kuwa karibu na Serikali - au ulikuwa na hili hulijui hadi leo.
 
Kuna mtanzania ameajiriwa huko Asia?
 
Ubunge si ajira rasmi, Shabib na Abood wapo bungeni kwa maslahi yao binafsi kijana.

Ukitaka kufanya biashara bila bughudha katika nchii hii kuwa karibu na Serikali - au ulikuwa na hili hulijui hadi leo.
Wahindi hawataki kuajiriwa sababu ni utumwa na hutoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…