Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ni wachache sana ukilinganisha na wingi wao.Mkuu si kweli, katibu mtendaji baraza la mitihani ni Gabachori,pia Kuna mbuge wa kahama Jimbo la Solwa miaka ya tisini nikiwa huko alikuwa pure Gabachori,nadhani aliitwa Bhiku Lukindagila miaka hiyo nikiishi Segese- Kahama
Simba mwenda pole iko gonjwa, usipo ziba ufa mwiji chungulia Dani, mtaka cha uvunguni iko inua Matanda,, simba guvu moya, wakitamka vizuri tu tunawapa ukatibu Mkuu mwezi ujao baada ya vetting,Wakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Wageni kaka.😀😀😀Hao nao ni wageni?😅😅😅
Sasa mada ilikuwa inaenda vizuri tu tena nlikuwa nachangia kwa jazba na mihemko .ila ulipowasema vibaya machangudoa umenikwaza sana ,naomba nitoe rai kwako acha kuwaongelea machangudoa au hatua kali dhidi yako zikianza na onyo kisha karipio kali ,wakome shenzi we(naongea huku mate yanaruka na natetemeka)Huyo Tulia ni wenge la kukutana na wazungu wengi kwa wakati mmoja, alikuwa na kitete cha kujihami sababu alishindwa kujitetea.
Turudi, huku
Machangudoa wa kihindi walikuwepo sana miaka ile, ila kwenye mahoteli makubwa kama Kilimanjaro na Aficana na New Africa
Hata sasa wapo lakini ni wa bei ya juu, nenda tovuti ExoticTanzania utawakuta tu, lakini malipo ni dolari
Wizi wa fedha za Uma kubwa kubwa hupitishiwa kwao. Kwa nini wahangaike wakati wajinga wenye madaraka watawaletea na kuwalinda?Hawa wana waza biashara tuu mambo ya rushwa za serikalini sio kipaumbele chao.
Walijaribu Rostam, Mo,Manji na marehemu Gulamali mwishowe wakawaachia watalamu wa kuishi kwa ufisadi..
Ingawa nyakati nyingine wanatumiwa kufanikisha wizi kama kwenye EPA
Hawa watu mara nyingi wana maeneo mijini hasa sehemu zenye potential ya kibiashara na wamerithi kutoka kwa mababu zao walio tukoloni
Awa sijui ndo waarabu siwaelewagi Mimi naona wanaishi kama wakimbizi tuliowapa hifazi ya kidumu
Nini kinawazuia watu wenye damu asili ya kiafrika waishio Afrika kubuni na kuendeleza teknolojia zao ?Wakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Mama Samia HassanAbdulrahmman Kinana
Hussein Bashe
Sijui nani yule Zungu
Wewe nenda kabishane kuhusu vita vya Israel na Hamas, mambo ya mihimili ya Dola yamekupita kushoto.Umemsoma mleta mada vizuri!??
Je ubunge sio sehemu ya serikali!?
Tena serikali kuu kabisa.
Alichosema mleta mada kwanini hatuwaoni hao shombe shombe serikalini na ofisi zingine!?
Embu soma kwa uelewa basi.
Soma kwa uelewa.Wewe nenda kabishane kuhusu vita vya Israel na Hamas, mambo ya mihimili ya Dola yamekupita kushoto.
Unless kama wewe ni wa 2000. Lakini wengi walikuwepo na wapo mpaka sasa ingawa sio wengi. Wapo waliosjina nafasi za kisiasa kama Rostam Aziz, Abood, Shabiby, Pirmohamed Mullah wa Mbeya nk.Wakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Sasa mada ilikuwa inaenda vizuri tu tena nlikuwa nachangia kwa jazba na mihemko .ila ulipowasema vibaya machangudoa umenikwaza sana ,naomba nitoe rai kwako acha kuwaomgelea machangudoa au hatua kali dhidi yako zikianza na karipio likiambatana na onyo kali ,wakome shenziHuyo Tulia ni wenge la kukutana na wazungu wengi kwa wakati mmoja, alikuwa na kitete cha kujihami sababu alishindwa kujitetea.
Turudi, huku
Machangudoa wa kihindi walikuwepo sana miaka ile, ila kwenye mahoteli makubwa kama Kilimanjaro na Aficana na New Africa
Hata sasa wapo lakini ni wa bei ya juu, nenda tovuti ExoticTanzania utawakuta tu, lakini malipo ni dolari
..kwa hiyo hata kwenye uchangudoa wao wanapata bei kubwa kuliko wazawa.
..biashara wao wanafanya kubwakubwa kuliko wazawa.
..inabidi wazawa tujichunguze tumekosea wapi.
Tanganyika ni nchi ya watu weusi,kama wanataka vyeo serikalini waende huko kwa waliko toka,utukishi wa umma ni wawatanganyika halisi watu weusi.
Bunge na serikali ni mihimili miwili tofauti. Legeza fuvu hilo ili ujifunze usiyoyajua.Soma kwa uelewa.
Kama huwezi kusoma kwa uelewa kaa pembeni.
Au mbunge sio kiongozi wa serikali!?
Fala huyu!