Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??
Uzi tayari.
United States Of AmericaStates ndo nini?
OkUnited States Of America
basi kadanganyaSalama mtoto anaye na yuko kwao zanzibar mkubwa tu
vipi vugu vugu la uchaguzi huko?
Angalia CNN.vipi vugu vugu la uchaguzi huko?
kingamuzi Cha CNN bado sijakinunuaAngalia CNN.
Kakinunue.kingamuzi Cha CNN bado sijakinunua
usinifanyie hivyo Ronnie Coleman mimi body builder mwenzako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kakinunue.
we dada muongo kaahMbona wote nimesikia wanawatoto..jide mtoto mkubwa tu na salama nae na alizaa na juma kaseja enzi hizo anasoma makongo..😎
Umeongea kama wazee kumi wa kijiji....busara nyingi sana.BAadhi ya statements humu zinaumiza.Tusiwabeze ila tuwaombee kwa Mungu awasaidie wanawake wote wanaotamani watoto wapate.
Kati ya vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa binadamu ni hili
Ingekua sio hisani ya wanawake wakishirikiana na ndugu, jamaa, majirani na marafiki wanaume wengi pia wangepatwa na hiki kilio cha kukosa watoto.
Wakubwa tuu ndio watanielewa
We kuku unajua maana ya neno "kusikia" au umeamua tu kutype sababu unavidole?we dada muongo kaah
🤣 🤣 🤣We kuku unajua maana ya neno "kusikia" au umeamua tu kutype sababu unavidole?
Acha tuu Binti1 kuna wanaume wanawananga wanawake wanaotafuta watoto bila mafanikio kwa kujidai wao wana uwezo wa kuzaa.... wangejua wangejinyamazia tuu. Wanawake wana vifua jamaniUmeongea kama wazee kumi wa kijiji....busara nyingi sana.BAadhi ya statements humu zinaumiza.
Wanalelea wenzao af wanatembea vifua mbele [emoji23]
Uzi ufungwe mods best comment of the weekyee mwenyewe bwana sasa awe na bwana wa nini