=>Utandawazi na elimu: hivi vitu vimerahisisha upatikanaji wa maarifa, na binadamu waliopata neema ya kuyapata hayo maarifa wamepevuka kiupeo.Habari ππΎ
Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.
Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.
Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Mingi wa wakristo yesu,alizaliwa na mariamu,mungu wa waislam Allah(sw),muumba wa kila kitu akiwemo mariamu na yesu mungu wa wakristo,mungu wa wahindu ng'ombeKwa maana hiyo unataka kuniambia kuwa waislam wana MUNGU wao na wakristo nao wana MUNGU wao...Yes kwa hiyo hapo tayari wamepatikana miungu wawili provided kwamba hatuwezi kubainisha ukweli na uongo!
Hilo linafahamika Sasa huyo shetani alipata wapi roho ya uasi akiwa Hiko mbinguni tunapoaminishwa hakuna ubaya?Sisi binaadamu ni viumbe wa mwisho kuumbwa ninamaana hapo mwanzo kulikuwapo na viumbe walio ishi kabla yetu na huyo ambaye kwa sasa ni shetani ni mmoja wa viumbe hao
Utaamini mungu yupo halafu utaenenda vipi duniani?!!Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya DINI na IMANI....hata kwangu Mimi siamini Sana katika dini Ila kwangu IMANI ya uwepo wa MUNGU MUUMBA NA MWENYEZI ninayo na hiki ndo nadhani ni kitu muhimu Sana kuliko DINI.
Mambo yakibadilika yanazaa mfumo mpya wa maisha,yaani dini mpyaHuo mfumo wa maisha usipo rithishwa vizuri lazima mambo yatabadilika tu
Kuamini mungu Bila kuwa na utaratibu wa maisha toka kwa mungu huyo ni unyamaUtaitafuta Dini au utamfuta Mungu?Dini zimefail ndio maana uovu umeongezeka Mara dufu.Siku watu wakiamua kutafuta Mungu na kuwa na hofu nae Dunia hii tutaifaurahi.NB Mungu hayupo kwenye hizo Dini Yesu kristo alileta Wokovu sio ukristo.Ukristo ni matokeo ya watu wachache kutaka kuhodhi wenzao.Mungu awe nawe Daima.
Kuna Bible/ Quran ndugu.....ambavyo ndo muongozo na msingi wa IMANI...hivi vitabu sio DINI bali ni IMANI....so nitaenenda Kwa misingi ya hivyo vitabu na si DINI.Utaamini mungu yupo halafu utaenenda vipi duniani?!!
Dini ni mfumo wa maisha,usipozini,usipoua,usipokula ribs,usipodhilumu,usipoabudu mungu mwingine zaidi ya Allah,ukiamini siku ya malipo,hapo unakua umeishi kiislamKuna Bible/ Quran ndugu.....ambavyo ndo muongozo na msingi wa IMANI...hivi vitabu sio DINI bali ni IMANI....so nitaenenda Kwa misingi ya hivyo vitabu na si DINI.
Soma 1wafalme 11: 3 baada ya hapo usome 2 Samwel 12:8Kabla hujajibiwa swali lako,una uhakika hizi habari ni za kweli ?
Nimeshamjibu.Akikujibu nipe khabari
Safi sana mkuu... kuna uwezekano hizi dini zinauhusiano na Mungu (yaani zinajibabatiza kwa) ila Mungu mwenyewe hana uhusiano na hizi dini(kwa maana kwamba hakuamrisha iundwe dini ila watu tu wenyewe waliamua kufanya hivyo).Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya DINI na IMANI....hata kwangu Mimi siamini Sana katika dini Ila kwangu IMANI ya uwepo wa MUNGU MUUMBA NA MWENYEZI ninayo na hiki ndo nadhani ni kitu muhimu Sana kuliko DINI.
Nimeona jibu lako nilicho gundua mimi na wewe ni imani za dini mbili tofauti ili tuwekane sawa ni lazima tuamini kitabu kimoja bila ya hivyo kuelewana ni ngumuNimeshamjibu.
Niongezee kidogo hapa; ilikuwa je akaasi wakati tunaambiwa Mungu anatujua hat jabl hatujazaliwa; kanuni aliruhusu shetani awepo?Hilo linafahamika Sasa huyo shetani alipata wapi roho ya uasi akiwa Hiko mbinguni tunapoaminishwa hakuna ubaya?
Sasa siku nyingine usipinge kitu mbacho hujaelewa. Jifunze kuulizaNimeona jibu lako nilicho gundua mimi na wewe ni imani za dini mbili tofauti ili tuwekane sawa ni lazima tuamini kitabu kimoja bila ya hivyo kuelewana ni ngumu
Kukuuliza unaambiwa kuna mabo hutakiwi kuhoji kwa sabbu ni kumtilia Mungu mshaka.Inaonekana kuna maswali mengi miongoni wa waumini, lakini kwa nini awahoji masuala haya katika mikusanyiko yao?
Nadhani haujaelewa nilichokimaanisha ila yanayotendeka na yanayotendwa na viongozi wetu wa kiroho huwa yanaturudisha nyuma sana kiimani aise.Unamaanisha dini ni sehemu ya watu wasiokuwa na uwezo wa reasoning? Ni yapi ambayo yamefichwa kwa watu wasiokuwa na uwezo huo?
nakazia Tena hapa ilikuaje alivyoasi akamtupa duniani kwenye sayari wanayoishi viumbe binadamu Ili hali akijua atakuja kuwavuruga,na yeye hukiri kwamba binadamu ni kiumbe dhaifu yaani akili za huyo Mungu ni sawa na za baba Mwendawazimu anayefungia watoto chumbani na kuwatupia nyoka mwenye sumu Kali black mamba na anawambia wamshinde Kwa kuepuka sumu yake Ili hali yeye kamshindwa!Niongezee kidogo hapa; ilikuwa je akaasi wakati tunaambiwa Mungu anatujua hat jabl hatujazaliwa; kanuni aliruhusu shetani awepo?
Kuelewana kupa sababu kuna hoja za kiakili pia.Umefanya Jambo jema kuiweka wazi Imani yako pamoja na Yusco dagama.Hakika hatutaelewana.Naishia hapa.
Kusoma hakutoshi nimekuuliza una uhakika na ukweli wa hizi habari ? Hujajibu swali bado.Soma 1wafalme 11: 3 baada ya hapo usome 2 Samwel 12:8