Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Mifumo inasimamiwa na watu au maroboti.?

Huko chadema mbona huwa mnakandamiza mifumo mliyoijenga na kufanya kwa matakwa ya mtu??
Watz usipo kua sisiem basi chadema... Kwa hali hii hatutafika tunapotaka.. au tutachelewa sana!
 
Wewe ndiye huwajui kabisa ccm! Zanzibar waligwaya Kamando alipotaka kubadilisha katiba aendelee. Jahazi likaokolewa na baba wa taifa.

2015 ccm unayozungumzia ilizikwa rasmi na Twende kupiga kura asiyetaka na abaki. Ccm ambayo haijasema kilichomtokea Mangula hadi leo! Wako pamoja wote hawako wote pamoja! Dhana ya chukua chako mapema ni sasa. Ccm ya watu sio watu wa ccm. Inatumiwa tu kwa maslahi. Hakuna mfia ccm tena.
Ila ukiitishwa uchaguzi tunapigwa chini kwa kila utundu wauju wao. Bila kutambua tunapigana na nani, safari yetu ya kisiasa itaendelea kuwa ngumu.
 
Magufuli anapaswa kwenda jela baada ya 2025, hawezi kufanya Uhalifu mkubwa hivi dhidi ya raia halaf aachwe tu akakae Chato, stahili yake ni jela period!
Itawezekana tuu kama Chadema itapata madaraka. Imeshindikana kwa watangulizi wake nini kitawezekana leo, ndoto za mchana.
 
JFK... [emoji853]
Huku hilo haliwezi kutokea hata Yesu atakaporudi labda mfumo umkatae.

Na complexity ya usalama wetu unamfavaour zaidi boss mkubwa. Yaani unakuta watu watatu au zaidi wanapewa mission moja bila wao kujuana.
 
Ninao uhakika wa asilimia 100 kuwa hawezi kuongeza muda mwingi e ifikapo 2025...
Na wewe hapo ndiye utakuwa wa mbele kabisa kuja hapa na kujaza kurasa za JF kutetea atakapoweka bayana nia yake ya kuendelea.

Ni nani hapa asiyejua ulevi wako!

Imenilazimu mara moja hii nikujibu kwa hili, vinginevyo ningekupuuza kama kawaida ya siku zote.
 
Huku hilo haliwezi kutokea hata Yesu atakaporudi labda mfumo umkatae.

Na complexity ya usalama wetu unamfavaour zaidi boss mkubwa. Yaani unakuta watu watatu au zaidi wanapewa mission moja bila wao kujuana.
Kumbe ulikua unazungumzia nchi hii!
 
Ila ukiitishwa uchaguzi tunapigwa chini kwa kila utundu wauju wao. Bila kutambua tunapigana na nani, safari yetu ya kisiasa itaendelea kuwa ngumu.
Hakuna kitu. Wrong assessment? Amri kwa wakurugenzi ilitosha. Hata maafisa watendaji waliisikia. Ccm wema walisema njama na njia zinazotumika. Wengine waliogundulika wamefukuzwa. Muulize Mdee anakamata masanduku yaliyojaa kura zilizopigwa. Akiripoti anawekwa ndani yeye. Anaodhania wahalifu kumbe sio bali yeye ndiye! Inaweza kuwa one-man show.
 
Bungua, swali langu kwako na kwa unyenyekevu mkubwa naomba ukijibu.
' sisi opposition mpaka sasa tunayo dawa ya kipigo cha uchaguzi pindi uchaguzi mwingine ukiitishwa tena? Jitahidi uwe na muono halisi.
 
SAWA.

Na itafurahisha sana kama hayo uliyoyaeleza yatakuwepo.

Lakini swali gumu ni hili: Yote hayo yatarudi na kusimamiwa na hawa hawa waliojitoa akili na kuimba nyimbo za mfalme sasa hivi?

Mbona huo utakuwa kama muujiza? Viongozi hawa hawa watoke katika kutekeleza kila wanachoagizwa, hadi akili ziwarudi na kuanza kufanya kazi kwa kutumia akili?
Au wote wataondoka na mfalme wao; na hao wapya je, wamejificha mahali wakisubiri wakati wao?

Mkuu, mi nadhani umeipaka bendera yetu rangi nzuri kuliko uhalisia wenyewe. Twende taratibu kidogo kidogo, pengine tutafika huko tunakokupenda sote hatua kwa hatua.
Hao viongozi sio kama hawana akili sababu kuna ambao walikuwa kwenye system hata kabla ya magufuli ila kwa kuwa sasa hakuna freedom of expression hamna ambaye anataka kuwa on the disadvantaged side. Tumia akili upingane na mkuu akumalize ki career! So wanaishi kwa mfumo wa "jifanye mjinga upate mradi wako."
 
Nani kakuambia atatoka? Subiri atoke ndipo uulize sio sasa hivi labda ataendelea?
 
Natabiri raisi ajaye atapenda madili kinyama yaani ........mpaka visoda vitageuka dili
 
Back
Top Bottom