Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM.
1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii.
Your browser is not able to display this video.
2. Rostam Aziz yeye anasema "Magufuli asingeweza kuja kufungua ule mtambo wangu wa gesi angekuwa anajua mimi si mfanya biashara halali ,asingeweza kuja kufungua kiwanda cha Morogoro ningekuwa mimi sio mfanyabiashara halali ."
Your browser is not able to display this video.
Je, ni nini maana ya hizi kauli? JPM ni alama ya uzalendo, asipenda ufisadi au?
Sijaona kipya au kitu cha ajabu, wote wamemtumia Magufuli kama rejea katika kutengeneza hoja zao. Ni kitu cha kawaida kwa watu makini wanapotengeneza hoja zao kuambanisha na rejea (reference).
Upande wa pili, wale ambao hatukuwa tunamkubali Magufuli na siasa zake, kwa sasa tunamtumia Magufuli kama "choo cha kisiasa", tukijisikia kwenda haja, tunakitumia, na tukimaliza tunatoka na kukiacha kukiwa kimehifadhi uchafu wote.

Udikteta wa magufuli ndio ulikua unamharibia ni sawa na Hitler au Makaburu walifanya maendeleo makubwa sana ila tatizo ni ukatili wao ukafunika mazuri Yao.

Bahati choo cha magufuli ukitaka kukichafua unachafuka wewe zaidi. Ukitaka kujua hilo angalia kauli za hao jamaa. Hawajataka kuchafuka ndio maana hawajamchafua Magu.
Udikteta wa magufuli ndio ulikua unamharibia ni sawa na Hitler au Makaburu walifanya maendeleo makubwa sana ila tatizo ni ukatili wao ukafunika mazuri Yao.
Habari jf ,leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM .
1.Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii .
Maana yake halisi ni kuwa, Magufuli hakupenda wala rushwa wala kuchekea ufisadi, ndio maana Rostam kujisafisha lazima atumie Sabuni ya uhakika kwa usafi wa ufisadi, nayo ni Magufuli Soap.
Habari jf ,leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM .
1.Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii .
Roastam huyo huyo, asjifanye kusahau, kwamba Magufuli asingekubali kutumiwa, kama wanavyomtumikisha Samia sasa hivi na kumfanya awe mtumishi wao badala ya waTanzania wote.