Nini maana ya hizi kauli za Tundu Lissu na Rostam Aziz juu ya Hayati Magufuli?

Nini maana ya hizi kauli za Tundu Lissu na Rostam Aziz juu ya Hayati Magufuli?

hapa duniani wewe pambana tu na hali yako hadi utoke, ukifuatilia sana hizo survival of the fittest, utaumia moyo.
 
Kila kitu reference ni Magufuli, hakika Mungu ampe pumziko jema huko alipo.

Na bado, kila mtu atakuja kunena mema yote ya yule shujaa, kama alivowahi kusema mwenyewe enzi za mwisho wa uhai wake.
Time will tell
 
Magufuli hasafishiki. Fashisti ,mzandiki na mbaguzi yule. Ameua, amepora, amepiga watu risasi na ameteka watu wengi sana. Afe tena huko aliko.
Mtafuta sifa tu wewe huna lolote. 😡
 
Habari JF,

Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM.

1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii.

View attachment 2669699

2. Rostam Aziz yeye anasema "Magufuli asingeweza kuja kufungua ule mtambo wangu wa gesi angekuwa anajua mimi si mfanya biashara halali ,asingeweza kuja kufungua kiwanda cha Morogoro ningekuwa mimi sio mfanyabiashara halali ."

View attachment 2669700

Je, ni nini maana ya hizi kauli? JPM ni alama ya uzalendo, asipenda ufisadi au?
Ndiyo maana Rostam ndiye inasadikika alimaliza mchezo, angejua asingehudhuria
 
Lissu kaelewa
 
Back
Top Bottom