Habari JF,
Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM.
1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii.
View attachment 2669699
2. Rostam Aziz yeye anasema "Magufuli asingeweza kuja kufungua ule mtambo wangu wa gesi angekuwa anajua mimi si mfanya biashara halali ,asingeweza kuja kufungua kiwanda cha Morogoro ningekuwa mimi sio mfanyabiashara halali ."
View attachment 2669700
Je, ni nini maana ya hizi kauli? JPM ni alama ya uzalendo, asipenda ufisadi au?