Nini maana ya hizi kauli za Tundu Lissu na Rostam Aziz juu ya Hayati Magufuli?

Huyo Rostam kama kweli anaamini alikuwa hapendwi na Magufuli, mbona kule ikulu alikwenda kumtembelea Magufuli akiwa peke yake, baadae akarudi tena akiwa na Lowassa, sasa atuambie, mtu asiyempenda angemkaribisha ofisini kwake?

Rostam ni mjinga tu, hajui nini cha kuongea, wala hajui kupangilia akiwasilishe vipi mbele za watu, anajiokotea maneno tu kama mtoto mdogo yasiyo na uhusiano wowote na uhalisia wa mambo aliyowahi kuyafanya siku za nyuma.
 
Huyo Rostam kama kweli anaamini alikuwa hapendwi na Magufuli, mbona kule ikulu alikwenda kumtembelea Magufuli akiwa peke yake, baadae akarudi tena akiwa na Lowassa, atuambie, mtu asiyempenda angemkaribisha ofisini kwake?

Rostam ni mjinga tu, hajui nini cha kuongea, hajui kupangilia akiwasilishe vipi mbele za watu, anajiokotea maneno tu kama mtoto mdogo yasiyo na uhusiano wowote na uhalisia wa mambo aliyowahi kuyafanya siku za nyuma.
Mbona kaongea vizuri mkuu kama mtoa mada alivyomquote
 
Habari JF,

Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM.

1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii.

View attachment 2669699

2. Rostam Aziz yeye anasema "Magufuli asingeweza kuja kufungua ule mtambo wangu wa gesi angekuwa anajua mimi si mfanya biashara halali ,asingeweza kuja kufungua kiwanda cha Morogoro ningekuwa mimi sio mfanyabiashara halali ."

View attachment 2669700

Je, ni nini maana ya hizi kauli? JPM ni alama ya uzalendo, asipenda ufisadi au?
Rostam una NINI Rostam!!?

Kaa kimya mnyamwezi wewe kaa kimya!!

Kiwanda cha ngozi SIO!!?

Una maanisha kule kiwanda cha ngozi au maji cha jw!!?

Unajua unapokumbushia kiwanda cha uzinduzi unakumbushia nini!?yaani unakumbushia ziara ya Mwisho ya mchato akitokea chato kuja dar halafu hatukumuona tena!!!

Yaani unatafuta justification ya kishughulikiwa na hao jamaa!!!

Huyo unaemjibu unajua katumwa na Nani!!?

Sio Pengo wa St Peters!?

Wewe nae!umerukwa na AKILI!!?

KAZI kwako!!

Mimi HUWA namkubali Dr.Husein Mwinyi! HUWA anajikalia kimya!!!
 
Udikteta wa magufuli ndio ulikua unamharibia ni sawa na Hitler au Makaburu walifanya maendeleo makubwa sana ila tatizo ni ukatili wao ukafunika mazuri Yao.
Jamaa umepotea kweli, mkataba wa hovyo wa bandari kimya...mpaka uone jina la Magufuli ndio unaibuka!.

Very much predictable.
 
Inashangaza sana kama tunarudi kwenye mambo ya ufisadi. Watu wawe na hofu na Mungu. Ipo siku pumzi itawatoka. Wasinyanyese watu wasiokuwa na nguvu.
Ni mambo ya kijinga yaliyotuingiza kwenye awamu ngumu kama nchi.Wanayaleta tena sijui itakuwaje
 
Habari JF,

Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM.

1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii.

View attachment 2669699

2. Rostam Aziz yeye anasema "Magufuli asingeweza kuja kufungua ule mtambo wangu wa gesi angekuwa anajua mimi si mfanya biashara halali ,asingeweza kuja kufungua kiwanda cha Morogoro ningekuwa mimi sio mfanyabiashara halali ."

View attachment 2669700

Je, ni nini maana ya hizi kauli? JPM ni alama ya uzalendo, asipenda ufisadi au?
MAana yake ni kwamba jpm alikuwa anawahadaa watu kwamba hapendi ufisadi kumbe alikuwa anawachukia tu watu wanaonesha upinzani juu yake. Alimuona rostam siyo threat kwake hivyo akaona aendelee na Dili zake za kufa na kupona
 
Jamaa umepotea kweli, mkataba wa hovyo wa bandari kimya...mpaka uone jina la Magufuli ndio unaibuka!.

Very much predictable.
Mbona nimechangia Uzi wa UDSM juu ya tafiti Yao kuhusu makubaliano na DP world. Mimi napenda nijue facts kwanza sio kuchangia kwa hisia na ushabiki.
 
MAana yake ni kwamba jpm alikuwa anawahadaa watu kwamba hapendi ufisadi kumbe alikuwa anawachukia tu watu wanaonesha upinzani juu yake. Alimuona rostam siyo threat kwake hivyo akaona aendelee na Dili zake za kufa na kupona
Hi sio kweli
 
Rostam una NINI Rostam!!?

Kaa kimya mnyamwezi wewe kaa kimya!!

Kiwanda cha ngozi SIO!!?

Una maanisha kule kiwanda cha ngozi au maji cha jw!!?

Unajua unapokumbushia kiwanda cha uzinduzi unakumbushia nini!?yaani unakumbushia ziara ya Mwisho ya mchato akitokea chato kuja dar halafu hatukumuona tena!!!

Yaani unatafuta justification ya kishughulikiwa na hao jamaa!!!

Huyo unaemjibu unajua katumwa na Nani!!?

Sio Pengo wa St Peters!?

Wewe nae!umerukwa na AKILI!!?

KAZI kwako!!

Mimi HUWA namkubali Dr.Husein Mwinyi! HUWA anajikalia kimya!!!
Daaa
 
Habari JF,

Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM.

1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii.

View attachment 2669699

2. Rostam Aziz yeye anasema "Magufuli asingeweza kuja kufungua ule mtambo wangu wa gesi angekuwa anajua mimi si mfanya biashara halali ,asingeweza kuja kufungua kiwanda cha Morogoro ningekuwa mimi sio mfanyabiashara halali ."

View attachment 2669700

Je, ni nini maana ya hizi kauli? JPM ni alama ya uzalendo, asipenda ufisadi au?
Kwa uzalendo hakuna anae bishana na hilo. Ila kama binadamu yeyote yule alikua na mapungufu yake kama kukurupuka katika maamuzi na kutowasikiliza wengine
 
Magufuli aliwaweza sana watu wenye akili ndogo na tatizo wenye akili ndogo ndiyo wengi ni sawasawa na magazeti ya udaki au vipindi vya hovyo redioni vya hovyo vinawalenga wasio na akili hata makanisa ya upako yanawalenga wasio na akili kwa sababu ndo wengi kwa hiyo ni mtaji mkubwa!...wasio na akili magufuli mwenyewe alikuwa akiwaita wanyonge!!...

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom