🤣🤣🤣Maana yake halisi ni kuwa, Magufuli hakupenda wala rushwa wala kuchekea ufisadi, ndio maana Rostam kujisafisha lazima atumie Sabuni ya uhakika kwa usafi wa ufisadi, nayo ni Magufuli Soap.
Mbona kaongea vizuri mkuu kama mtoa mada alivyomquoteHuyo Rostam kama kweli anaamini alikuwa hapendwi na Magufuli, mbona kule ikulu alikwenda kumtembelea Magufuli akiwa peke yake, baadae akarudi tena akiwa na Lowassa, atuambie, mtu asiyempenda angemkaribisha ofisini kwake?
Rostam ni mjinga tu, hajui nini cha kuongea, hajui kupangilia akiwasilishe vipi mbele za watu, anajiokotea maneno tu kama mtoto mdogo yasiyo na uhusiano wowote na uhalisia wa mambo aliyowahi kuyafanya siku za nyuma.
Rostam una NINI Rostam!!?Habari JF,
Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM.
1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii.
View attachment 2669699
2. Rostam Aziz yeye anasema "Magufuli asingeweza kuja kufungua ule mtambo wangu wa gesi angekuwa anajua mimi si mfanya biashara halali ,asingeweza kuja kufungua kiwanda cha Morogoro ningekuwa mimi sio mfanyabiashara halali ."
View attachment 2669700
Je, ni nini maana ya hizi kauli? JPM ni alama ya uzalendo, asipenda ufisadi au?
Mahakama ambazo hata yeye haziamini, kuwa zinaweza kupigiwa simu na kuupindisha ukweli?Kasema muende mahakamani
Jamaa umepotea kweli, mkataba wa hovyo wa bandari kimya...mpaka uone jina la Magufuli ndio unaibuka!.Udikteta wa magufuli ndio ulikua unamharibia ni sawa na Hitler au Makaburu walifanya maendeleo makubwa sana ila tatizo ni ukatili wao ukafunika mazuri Yao.
😆😆😆anajua mkienda mtamsafisha zaidiMahakama ambazo hata yeye haziamini, kuwa zinaweza kupigiwa simu na kuupindisha ukweli?
Mjinga sana japo ni mwerevu kwa ufisadi😆😆😆anajua mkienda mtamsafisha zaidi
Plea Bargain ilivyotumika kupunish adui zake.Ukatili upi huo ?
Ni mambo ya kijinga yaliyotuingiza kwenye awamu ngumu kama nchi.Wanayaleta tena sijui itakuwajeInashangaza sana kama tunarudi kwenye mambo ya ufisadi. Watu wawe na hofu na Mungu. Ipo siku pumzi itawatoka. Wasinyanyese watu wasiokuwa na nguvu.
Jamaa asingekuwa na huu ujinga angeingia kwenye rekodi ya marais bora kabisaPlea Bargain ilivyotumika kupunish adui zake.
Kukamata wakosoaji
Kuua waliompinga
Kukataa kupeleka maendeleo eti kisa walichagua mpinzani
Kufungia vyombo vya habari n.k
MAana yake ni kwamba jpm alikuwa anawahadaa watu kwamba hapendi ufisadi kumbe alikuwa anawachukia tu watu wanaonesha upinzani juu yake. Alimuona rostam siyo threat kwake hivyo akaona aendelee na Dili zake za kufa na kuponaHabari JF,
Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM.
1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii.
View attachment 2669699
2. Rostam Aziz yeye anasema "Magufuli asingeweza kuja kufungua ule mtambo wangu wa gesi angekuwa anajua mimi si mfanya biashara halali ,asingeweza kuja kufungua kiwanda cha Morogoro ningekuwa mimi sio mfanyabiashara halali ."
View attachment 2669700
Je, ni nini maana ya hizi kauli? JPM ni alama ya uzalendo, asipenda ufisadi au?
Mbona nimechangia Uzi wa UDSM juu ya tafiti Yao kuhusu makubaliano na DP world. Mimi napenda nijue facts kwanza sio kuchangia kwa hisia na ushabiki.Jamaa umepotea kweli, mkataba wa hovyo wa bandari kimya...mpaka uone jina la Magufuli ndio unaibuka!.
Very much predictable.
Una ushahidi?Plea Bargain ilivyotumika kupunish adui zake.
Kukamata wakosoaji
Kuua waliompinga
Kukataa kupeleka maendeleo eti kisa walichagua mpinzani
Kufungia vyombo vya habari n.k
Hi sio kweliMAana yake ni kwamba jpm alikuwa anawahadaa watu kwamba hapendi ufisadi kumbe alikuwa anawachukia tu watu wanaonesha upinzani juu yake. Alimuona rostam siyo threat kwake hivyo akaona aendelee na Dili zake za kufa na kupona
DaaaRostam una NINI Rostam!!?
Kaa kimya mnyamwezi wewe kaa kimya!!
Kiwanda cha ngozi SIO!!?
Una maanisha kule kiwanda cha ngozi au maji cha jw!!?
Unajua unapokumbushia kiwanda cha uzinduzi unakumbushia nini!?yaani unakumbushia ziara ya Mwisho ya mchato akitokea chato kuja dar halafu hatukumuona tena!!!
Yaani unatafuta justification ya kishughulikiwa na hao jamaa!!!
Huyo unaemjibu unajua katumwa na Nani!!?
Sio Pengo wa St Peters!?
Wewe nae!umerukwa na AKILI!!?
KAZI kwako!!
Mimi HUWA namkubali Dr.Husein Mwinyi! HUWA anajikalia kimya!!!
Walimnyang'anya vitu vyote alivyopora kwanza ikiwemo CH10. Hapo ikabidi awe mpole na hata hivyo iliwafanya kujiandaa na hicho walichikifanya.Rostam fisadi linatumia jina la magufuli kujisafisha
Kwa uzalendo hakuna anae bishana na hilo. Ila kama binadamu yeyote yule alikua na mapungufu yake kama kukurupuka katika maamuzi na kutowasikiliza wengineHabari JF,