Nini maana ya hizi kauli za Tundu Lissu na Rostam Aziz juu ya Hayati Magufuli?

Jpm tapeli tu kama Azizi
 
Mbona nimechangia Uzi wa UDSM juu ya tafiti Yao kuhusu makubaliano na DP world. Mimi napenda nijue facts kwanza sio kuchangia kwa hisia na ushabiki.
Hata facts za kwenye ule mkataba wa hovyo hujaziona? au nazo kwako ni hisia?!
 
Hata hili la DP World wanajaribu kumvisha Magufuli wakati kila mtu anajua ni uwongo. Hata kama alibariki sasa si hayupo? Wenyewe hawana akili? Yaani utafikiri wanaongea na watoto ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Mara Magufuli alikubali....



Mara tulipenda uzoefu wa DP World

 
Lissu ameshaondoa huu utata we unga tela twende na Lissu mkuu
 
Wana mambo ya ajabu sana
 
Kila kitu reference ni Magufuli, hakika Mungu ampe pumziko jema huko alipo.

Na bado, kila mtu atakuja kunena mema yote ya yule shujaa, kama alivowahi kusema mwenyewe enzi za mwisho wa uhai wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ