Nini maana ya ndoto hii?

Omba Mungu kwa imani yako ili akuonyeshe kama ni ndoto ya mafanikio au ya watu waovu.
 
au sio? vipi kama nimeolewa? kwa hio baba mwana ananihadaa sio? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pls come again
 
Naona watu wanapinga ndoto..

Usipuuze ndoto iwe nzuri au mbaya...

Ndoto ni njia ya Mungu kuongea na wanadamu..
 
Hapo ulikuwa Gaza,na maembe uloyaona ni mabomu. So? Mi natania bwana
 
Duuh...! Unatafsiri siku zote mkuu au niaje?. Ni kama uko mle mle. Uko vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…