The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Umerogwa,na umepokonywa bahati zako zote.....pambana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omba Mungu kwa imani yako ili akuonyeshe kama ni ndoto ya mafanikio au ya watu waovu.Nimeota nipo sehemu nisioijua ni kama mji hivi, umechangamka kiasi nikajikuta na mtu nisiemjua, tukaenda kwenye mwembe uliokua umemwaga maembe mengi lakini hayana muokotaji.
Basi tukaanza kuyaokota lakini mengi yalikua mabichi nikasema niokote mabichi ndio makubwa na la kuiva lilikua dogo nililiokota hivohivo, kwa pembeni kulikua na nyasi nikahisi uwepo wa nyoka mweusi mdogo, nikarusha jiwe sikujua kama lilimpata au la, nikajikuta kwenye mfuko nina embe moja tu lililoiva dogo.
Nikawa najiuliza inawezekanaje wakati nimeokota mengi sana na yule mtu alinipotea tu sikumuona, nikajikuta nipo mjini kwenye huo mji, kilichonifanya nijue hapa ni mjini ni wingi wa magari ajabu kila gari ninayotaka kuipanda imejaa na haisimami, mwisho ikaja gar haikua na watu wengi nikaingia lakini lile gari likakwama kuondoka.
Nikashtuka, inaweza kuwa kuna kitu gani kinaendelea? naomba kutafsiriwa kwa anejua.
au sio? vipi kama nimeolewa? kwa hio baba mwana ananihadaa sio? 😂😂😂 pls come againKuna mwanaume alikuhadaa au ata kuhadaa kufanya jambo ambalo Kwa picha ya nje litaonekana Lina manufaa lakini baadae halitokuwa na manufaa. Kwa kifupi mtu huyo atakupotezea sana muda.😭😭😭😭
Atasababisha hata wengine uwanyime nafasi na wao pia kipindi ambacho huyo mtu atakuwa ameondoka awatokupa nafasi...!
Huyu ni wa kazini kama unafanya kazi...🤣🤣🤣au sio? vipi kama nimeolewa? kwa hio baba mwana ananihadaa sio? 😂😂😂 pls come again
ni mama wa nyumbani 😜😜Huyu ni wa kazini kama unafanya kazi...🤣🤣🤣
Nakuelewa sana wewe mamaNaona watu wanapinga ndoto..
Usipuuze ndoto iwe nzuri au mbaya...
Ndoto ni njia ya Mungu kuongea na wanadamu..
Duuh...! Unatafsiri siku zote mkuu au niaje?. Ni kama uko mle mle. Uko vizuri mkuuAcha kusikiliza maneno ya watu (mji wenye watu wengi usio wajua)na usipokee kila ushauri unaopewa( maembe mabichi), Una melengo uliojiwekea japo hujui namna ya kuyageuza kuwa mafankio(embe dogo mfukoni) ,Jipange uongeze elim ujitofautishe na watu wengi (watu kwenye gari lilojaa) ,Wenye mafanikio (gari ulilopanda) siku zote huwa ni wachache acha kufuata mkumbu.