Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

Pamoja na kulala na hayo, majaba ya Maji, pia nyunyuzia ugolo, madirishani kwa nje. Maana kabla ya kukupulizia hiyo dawa, lazima vichwa vyao viwe karibu na dirisha, ili kukuchungulia.

pua yake itaikaribia ugolo, na watapiga chafya za kutosha, hizo kelele za chafya za zitawakimbiza, maana mwizi hapigi kelele.
Hivyo watashindwa kuendelea na dhamira yao kwa kelele wanazo piga wenyewe.
 
Nilimpoteza jamaa yangu kwa style hiyo Mkuu,

Sitaki Kukumbuka Ile siku, Bado lile tukio linanitesa Hadi kesho.

TooBad .
Mungu ampumzishe rafiki huko aliko. Alikuwa mtu mwema mno.
 
Mtunze funguo zenu vizuri, anaugandamiza kwenye sabuni na kwenda kutoa ufunguo kama wako bila kujijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
KIwa maelezo ya Mleta uzi sidhani kama ni aina ya Wezi wa kupitia hizo tabu zote.

Hawa ni kama tayari wana mbinu mbadala ya ku dili na aina tofauti za kofuli...inabidi Raia nao waje na mbinu mbadala ya kufunga Nyumba na Fremu zao.
 
Nina rafiki majambazi wezi sijui, walipofika nyumbani kwake, waka wanahangaika na mlango wa jikoni, hapo mlinzi walishampiga mapanga, R.I.P alifariki, rafiki akawa bize kupigia simu majirani, katika purukushani, mmoja wao wale wezi, akawaambia wenzake, siyo mlango huu ni ule mlango wa Mbele, wakaenda mlango wa Mbele, wanajua walichofanya, Ila mlango ulifunguka fasta Tu, wakaingia, wakakomba walivyoweza, DK 10 nyingi, majirani wakawa wameshaamshana, mmoja alikuwa na silaha akaipiga juu, wezi wakakimbia!

Nahisi wakati wa ujenzi. Kuna Kikundi cha mafundi au someone kwenye shughuli nzima anayewapa ramani!

Mpaka kesho hatukujua nini, Ila walibadili milango, na locks na makomeo yakaongezeka!
 
Halafu wakichomwa moto watetezi wanaibuka msijichukulie Sheria mkononi, hali yenyewe ngumu halafu mtu anakusafisha
Umenikumbusha Kuna mzee kitaa kakatazwa kupiga mwizi [emoji2]. Hata wapigaji mnatetemeka huwa anawapasua mapumbu linawekwa kwenye jiwe au mbao na ngozi lake alafu jiwe moja anashakilia yeye

Kila mtu lazima ushijike chini hakuna mwenye roho ya kuangalia

Kuna watu wana roho ngumu
 
Ni sawa wanaiba ILA HILI la kuwapa napanga na kuwachoma moto sio zuri mkimkamata pelekeni mahala husika sio kujichukulia sheria mkonon
 
Matukio yamezidi kuongezeka sasa hivi ukilinganisha na wakati huo. Jitahidi kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…