Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

Wakishajua aina ya kufuli ndo wmeshua na aina ya fuunguo, kinachofuata ni kuja na lundo la funguo malaya za aina hiyo.

Njia nyingine wanayotumia ni unga wa baruti ya kununua au hata ya kiberiti tu, njia hii utakuta ule utumbo wa ndani ya kufuli uko nje! Ni wahuni sana'
Kama nyumba ina watu wanalala ndani ni muhimu kuwa na komeo za ndani. Usitegemee vitasa au kufuli. Vitasa na kufuli zenyewe ni hizi za mchina ambazo wanafungua kwa urahisi kabisa.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada kama maeneo nayoishi kumekuwa na vitendo vya wizi mchana na usiku ila style wanayotumia wizi ni kama aina mpya flani kwani kama miezi miwili kuna wezi walivamia usiku kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuiba bila kuvunja grill yaani walifungua kufuli kama kwao vile.

Juzi tena kuna jirani mchana ametoka amefunga mlango pamoja na grill jamaa wakaenda wakafungua kama kwao na kubeba kila kitu walichotamani kubeba.

Usiku wa leo jamaa wameenda tena mtaa wa jirani wakafungua mlango bila kuvunja wakabeba Tv ,simu pamoja na pesa japo kwa maelezo yake anahisi walimpulizia dawa za kulala .

Hatua ya kwanza tumechukua ni kuaza kulala na majaba au mabeseni ya maji chumbani kwani inasemekana hata wakikupulizia dawa ya kulala haifanyi kazi (hatuna uhakika).
Ila kinachotupa shida wanawezaje kufungua milango na magrill bila kufunja wanatumia njia gani na njia gani ya kuweza kudhibiti wizi huu wa majumbani?
Tuliza akili yako na ufahamu wa hali ya juu wa usalama nyumbani na alarm yetu ya sensori ya mlango/dirisha. Hakikisha unakuwa salama wakati wowote na popote.
 
Back
Top Bottom