Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Huyo sio kukatwa Ila alibidi achinjweKwa nini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM
Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili spate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Kakatwa January Makamba itakuwa huyo 😂
Nini sababu ya chuki kubwa na huyu kijana?Huyo sio kukatwa Ila alibidi achinjwe
Makamba kaongoza kipindi kirefu na hakuna alilofanya jimboni kwake, huyu kijana hajawahi kupewa kazi akashindwaKakatwa January Makamba itakuwa huyo 😂
Dogo alipojitokeza kumponda Gwajima, akadhani itambebaKwa nini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM
Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili spate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Ikiwa mjomba wake alimkata, kwanini samia alaumiwe kwa tendo sawa na la uncle?Kwa nini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM
Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili spate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Gwajima aliteuliwa kuchukua nafasi yake lakini akashindwa kutekeleza ahadi alizoahidi 2020Dogo alipojitokeza kumponda Gwajima, akadhani itambeba
Nimeeleza Ilikuwa kwa ajili ya kumpa muda wa kupata uzoefu, lakini mbona hajaruhusiw hata kugombea kura za maoni?Ikiwa mjomba wake alimkata, kwanini samia alaumiwe kwa tendo sawa na la uncle?
Ongeza na Ole Sabaya.Kakatwa January Makamba itakuwa huyo 😂
Kwani hana haki ya kugombea?Si ajiajiri huyo Furaha? Au kujiajiri ni kwa watoto wa masikini pekee?
Chuki kubwa ni kuwa anahusika kunanii watu .....Nini sababu ya chuki kubwa na huyu kijana?
Gwajima Bungeni hukua unamuona akisimama kulitetea jimbo lake?Gwajima aliteuliwa kuchukua nafasi yake lakini akashindwa kutekeleza ahadi alizoahidi 2020
January makamba ishu tofauti, huyo alishawahi kuwa mbunge?Kakatwa January Makamba itakuwa huyo 😂
Na hoja za kikao kile japo si mzoefu lkn naamini hoja za kikao kile ni SIRI katika kiwango namba 1 na hivyo sitarajii kama kuna mjumbe anaweza kuteleza na akajibu swali hiloSwali lako ni gumu mmno kwa sababu mwenye majibu ni lazima awe ni miongoni mwa wajumbe wa ile kamati, wengine kama tutajibu huo utakua ni UMBEALISM KWA KIWANGO CHA LAMI; ni mawazo yangu tu.