GE2025 Nini sababu ya CCM kumkata Furaha Dominic aliyeongoza kura za maoni Kawe 2020? Ni chuki na Magufuli?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.

Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Ana mikashifa kibao ya makosa ya mitandaoni
Alishawekwa hadi ndani polisi
 
Alikuwa na kesi ya kusambaza picha za utupu kwa fidia ya pesa. Tumesahau mapema hii kesi.
Kuwa na kesi mbona watu kibao wnakuwa na kesi na bado wanakuwa wabunge? Mbona Gwajima aliwahi kuwa na kesi na akawa mbunge? Tundu Lissu? Ole Sendeka? Mbowe? Kigwangala?
 
Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.

Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Wewe umechanganyikiwa.

Kwani yeye nani!?
 
Dogo kamalizwa na Gwajima baada ya kumponda sana kwenye media ndipo Gwajima akasema hatatoboa kokote na kweli amekwama mapema
 
Dogo ana misconducts nyingi!Tabia za kutiliwa shaka!
Alihusika kurecord picha za uchi za baadhi ya watu na kuwatisha ili apate fedha!

Huyo ndio unataka awe kiongozi wako??
Pia aliwahi kuwatapeli wachina Dola milion mbili hicho ndicho kilimkera magufuli hadi Kumwengua, Kwa kifupi Dogo ana vitabia Fulani vya hovyo hovyo ndiyo vimemgharimu sasa
 
Alikuwa na kesi ya kusambaza picha za utupu kwa fidia ya pesa. Tumesahau mapema hii kesi.
Kesi ipo na pia Tuhuma za utapeli kwa kivuli cha magufuli enzi akiwa hai, baada ya kumponda Gwajima ndipo akajibu mapigo kwa kupenyeza file lake la maovu yote kwa kamati kuu ya ccm wakala kichwa haraka
 
Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.

Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Jamaa alivyopata umaarafu 2020 nilianza kufuatilia kujua wananchi waliona nini kwa kijana mdogo kama yule ambaye wala hakuwa anajulikana, ila nilivyozidi kufuatilia baadhi ya interview zake na watu wa habari nikaona kama hana jipya,hajui kujieleza,hajui kupangilia nini aseme na asemeje yaani kifupi hajui kuongea yupo yupo tu sema bahati ilimtembelea.
 
2020 alitumia pesa kuwanunua Wajumbe zilikuwa pesa ambazo alikuwa kawatapeli wachina na alipata wakati mgumu baadae baada ya wachina kuanza kumdai kwa nguvu kubwa mpaka habari kumfikia magufuli
 
Jamaa alivyopata umaarafu 2020 nilianza kufuatilia kujua wananchi waliona nini kwa kijana mdogo kama yule ambaye wala hakuwa anajulikana, ila nilivyozidi kufuatilia baadhi ya interview zake na watu wa habari nikaona kama hana jipya,hajui kujieleza,hajui kupangilia nini aseme na asemeje yaani kifupi hajui kuongea yupo yupo tu sema bahati ilimtembelea.
Ukiacha hela na Hy ujomba WA Magu, jamaa ni boya mixer mshamba tu, Bora alivyokatwa
 
Samia anawaharibia ccm, watakuwa na wakati ngumu sana kukinadi chama Chao...wanachama hawamuelewi mwenyekiti wao wa taifa, unamkata hata Mpina...wasukuma wamekasilika watapiga kura kwa ccm mtindo huo??
KWani ccm inategemea kura za wananchi ili kushinda?
 
Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.

Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Muulize Ndugu yake ambae ni Magufuli Kwa nini alimkata?

Hapo ilikuwa Ni chuki Kwa nani?

🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom