GE2025 Nini sababu ya CCM kumkata Furaha Dominic aliyeongoza kura za maoni Kawe 2020? Ni chuki na Magufuli?

GE2025 Nini sababu ya CCM kumkata Furaha Dominic aliyeongoza kura za maoni Kawe 2020? Ni chuki na Magufuli?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.

Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Kwamba ni lazima, 😁👀
 
Alikuwa na kesi ya kuwa blackmail watu kwa kusambaza picha zao za faragha.
Kuwa na kesi sio ishu, alitiwa hatiani? Maana wapo wengi waliowahi kuwa na kesi na bado wakawa wabunge
 
Hawategemei wao kuiba tu, nakumbuka kauli za wanachama wake nappe, ana makinda na wengine ..walisema hata usipowapigia kura ccm ila watashinda maana hawategemei kura Yako.,.wanazo zakwao na hawawezi kuwapa wapinzani nchi...Ina maana watashirikiana na polisi ili wapinzani wasishinde kura na hata wakishinda wasitangazwe badala yake atangazwe wa ccm na kura zile zinageuzwa tu😄😄
Hakuna wapinzani uchaguzi huu, ni ccm vs vibaraka wake kama act, chauma nk
 
Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.

Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Bwana hupatiliza wana......hadi kizazi cha nne
 
Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.

Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Kama uncle yake alimkata akiwa kaongoza kura 2020 basi huenda hana vigezo
 
Huyu furaha sidhani kama kawe kwa.wananchi anakubalika kwanza hajulikani na kuwa na.undugu na ******** ndio itamharibia kabisa.

Wapigaji wote na wasomi wote ******** aliowaweka jela na kuwapora hela zao ni either wanaishi jimbo la kawe au wana makazi kawe akina Isaack kassanga. Deo mwanyika mbweni. Dr tenga baharibeach. Sioi. Shose. Kitilya mbezi na oysterbay. Ndama etc.

Hawezi kupata ubunge watajidanganya wajumbe lakini matajiri wakipiga jungu anatupwa na.kamati kuu
 
Kwani kuongoza kura za maoni uchaguzi uliopita ilikuwa ni mojawapo ya vigezo??
 
Back
Top Bottom