super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Ile ilikuwa kesi ya mchongo/KubumbaAlikuwa na kesi ya kusambaza picha za utupu kwa fidia ya pesa. Tumesahau mapema hii kesi.
Ile ilikuwa kesi ya mchongo/KubumbaAlikuwa na kesi ya kusambaza picha za utupu kwa fidia ya pesa. Tumesahau mapema hii kesi.
Kwani yeye ni mtoto wa tajiri?Si ajiajiri huyo Furaha? Au kujiajiri ni kwa watoto wa masikini pekee?
Na wewe ukaamini kuwa alifanya hivo???Dogo ana misconducts nyingi!Tabia za kutiliwa shaka!
Alihusika kurecord picha za uchi za baadhi ya watu na kuwatisha ili apate fedha!
Huyo ndio unataka awe kiongozi wako??
Amshukuru Magufuli angefungwa huyo jambaziNa wewe ukaamini kuwa alifanya hivo???
Akili zako zifanyiwe surgery
Kijanaa naona unataka kujua wabaya wakoNini sababu ya chuki kubwa na huyu kijana?
Ukoo wake wamekuwa kwenye top level ya nchi kwahiyo huwezi kumuita mtoto wa masikini.Kwani yeye ni mtoto wa tajiri?
Sasaivi anamuelewaDogo alipojitokeza kumponda Gwajima, akadhani itambeba
Aliyekubalika 2020 ni mjombawake na wala si yeye. Mfano mzuri ni kile kilichotokea kwa watoto wengi wa vigogo waliopo kwenye mistari waliopitishwa mwaka huu.Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.
Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
SHida yake nako kanaropoka sana, kanamkandia Gwajima as if kakipewa hilo jimbo katafanya la maana. Kwa kifupi KamdomooKwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.
Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
MIMBAAAAKwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.
Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Anafanya kwa pesa zake?Makamba kaongoza kipindi kirefu na hakuna alilofanya jimboni kwake, huyu kijana hajawahi kupewa kazi akashindwa
Ana redio yake inaitwa furaha ipo pale karibu na feza nursery mikocheni.Si ajiajiri huyo Furaha? Au kujiajiri ni kwa watoto wa masikini pekee?
Hawategemei wao kuiba tu, nakumbuka kauli za wanachama wake nappe, ana makinda na wengine ..walisema hata usipowapigia kura ccm ila watashinda maana hawategemei kura Yako.,.wanazo zakwao na hawawezi kuwapa wapinzani nchi...Ina maana watashirikiana na polisi ili wapinzani wasishinde kura na hata wakishinda wasitangazwe badala yake atangazwe wa ccm na kura zile zinageuzwa tu😄😄KWani ccm inategemea kura za wananchi ili kushinda?
Huwa anaongea kama mtoto mdogoUkiacha hela na Hy ujomba WA Magu, jamaa ni boya mixer mshamba tu, Bora alivyokatwa
Ohhhh kumbe2020 alitumia pesa kuwanunua Wajumbe zilikuwa pesa ambazo alikuwa kawatapeli wachina na alipata wakati mgumu baadae baada ya wachina kuanza kumdai kwa nguvu kubwa mpaka habari kumfikia magufuli
Mchukue wewe awe mbunge wa jimbo la moyo wako.Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM.
Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
Alikuwa na kesi ya kuwa blackmail watu kwa kusambaza picha zao za faragha.Ana ishu gani? Si wampeleke jela kama wana huo ubavu, uncle wake hayupo
Wajumbe wananulika??2020 alitumia pesa kuwanunua Wajumbe zilikuwa pesa ambazo alikuwa kawatapeli wachina na alipata wakati mgumu baadae baada ya wachina kuanza kumdai kwa nguvu kubwa mpaka habari kumfikia magufuli
Wajumbe wa sisiemu bila hela hata useme umetumwa na Raisi haupati kitu.Wajumbe wananulika??