Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

Muhukumu kwa matendo yake/tabia yake sio rangi...kwa hiyo kuchora tatoo ni rangi zao mzeebaba??????
Tattoo ni rangi kwenye ngozi.

Kwani unafikiri ni sauti?

Main point, usimhukumu mtu kwa jinsi anavyoonekana ukasema mfanyabiashara anavaa suti na mwizi anavaa jeans.

Hata mwizi anaweza kuvaa suti. Na mfanyabiashara akavaa jeans.

Usiishi kwa kukariri tu.

Kuna mfanyabiashara mmoja bilionea wa kimataifa wa Tanzania (jina kapuni kumuhifadhi) alishawahi kufukuzwa benki Uswizi kwa sababu alionekana muafrika mshamba kavaa kanzu kuukuu. Baada ya meneja wa benki kujua hela alizonazo kwenye hiyo benki, ilibidi aombwe msamaha sana.

Do not judge people by appearance.

Kuna watu wako kwenye kazi za creative design kwa mfano, kazi imemkaa mpaka imekuwa lifestyle, kaamua kujichora tattoo kama expression yake ya kuoenda creativity.

Ukiwa na shallow mind utam judge kuwa huyu haramia. Kumbe anapiga kazi na kulipa kodi pengine kukuzidi wewe.

Na hata kama hana kazi, inawezekqna na utu vizuri tu.

Kuna mshua mmoja alikuwa na nyodo sana za kusema vijana vibaya. Kuna vijana fulani walikuwa wanakaa karibu na geti lake. Wana sehemu wanabeba vyuma, wanapiga tattoo etc. Akawa anasema hawa vijana wavuta bangi tu hawana mchango katika jamii.

Siku moja, alikuwa anatoka kwake, gari lake likamharibikia getini. Mzee msomi lakini hajui lolote kuhusu magari zaidi ya kuendesha.

Basi walewale vijana aliokuwa anawasema vibaya wakawa ndio wa kwanza kwenda kumsaidia kutengeneza gari mpaka likawaka vizuri.

Baadaye akawa anawasifia kwamba kumbe wale vijana alikuwa anawaona wahuni na hawana mchango katika jamii, kumbe ni watu wazuri sana tu ukiwajua, wqna msaadq sana, na wanajua hata kutengeneza magari.

Waingereza wana msemo.

Do not judge a book by its cover.
 
Tattoo ni rangi kwenye ngozi.

Kwani unafikiri ni sauti?

Main point, usimhukumu mtu kwa jinsi anavyoonekana ukasema mfanyabiashara anavaa suti na mwizi anavaa jeans.

Hata mwizi anaweza kuvaa suti. Na mfanyabiashara akavaa jeans.

Usiishi kwa kukariri tu.

Kuna mfanyabiashara mmoja bilionea wa kimataifa wa Tanzania (juna kapuni kumuhifadhi) alishawahi kufukuzwa benki Uswizi kwa sababu alionekana muafrika mshamba kavaa kanzu kuukuu. Baada ya meneja wa benki kujua hela alizonazo kwenye hiyo benki, ilibidi aombwe msamaha sana.

Do not judge people by appearance.

Kuna watu wako kwenye kazi za creative design kwa mfano, kazi imemkaa mpaka imekuwa lifestyle, kaamua kujichora tattoo kama expression yake ya kuoenda creativity.

Ukiwa na shallow mind utam judge kuwa huyu haramia. Kumbe anapiga kazi na kulipa kodi pengine kukuzidi wewe.

Na hata kama hana kazi, inawezekqna na utu vizuri tu.

Kuna mshua mmoja alikuwa na nyodo sana za kusema vijana vibaya. Kuna vijana fulani walikuwa wanakaa karibu na geti lake. Wana sehemu wanabeba vyuma, wanapiga tattoo etc. Akawa anasema hawa vijana wavuta bangi tu hawana mchango katika jamii.

Siku moja, alikuwa anatoka kwake, gari lake likamharibikia getini. Mzee msomi lakini hajui lolote kuhusu magari zaidi ya kuendesha.

Basi walewale vijana aliokuwa anawasema vibaya wakawa ndio wa kwanza kwenda kumsaidia kutengeneza gari mpaka likawaka vizuri.

Baadaye akawa anawasifia kwamba kumbe wale vijana alikuwa anawaona wahuni na hawana mchango katika jamii, kumbe ni watu wazuri sana tu ukiwajua, wqna msaadq sana, na wanajua hata kutengeneza magari.

Waingereza wana msemo.

Do not judge a book by its cover.
Umeandika vitu vingi sana wala sibishi...Ila hoja yangu ni je, kweli tatoo ni natural color ya mtu,kuwa kazaliwa nayo?....umezungumzia mambo ya suti na kanzu,nadhani mfano wako sio relevant maana swali ni je wewe kama wewe unaweza amua kutembea uchi bila nguo kama ndo new lifestyle yako na usiache watu wakuhukumu kwa kisingizio kuwa that is your choice???.....kuna vitu ni ngumu sana kuvichukulia poa mzeebaba.
 
Mimi napenda sana mwanamke mweye ma tatoo, vikuku, vipini puani mdomoni kwenye nyusi nk. Kikubwa nachowapendea ni kuwa hawa wameamua kujiwekea alama kabisa kujitambulisha kwamba wao ni makahaba! Hii inasaidia sana kwa mtu ambae hutaki ukaribu na mwanamke wa aina hiyo wee unakaa mbali mapemaa.

Ha ha ha kuna mahali huwa nakula muhudumu ana kipini puani, kumbe inawezekana anauza eeh! Ngoja nichukue namba leo
 
Umeandika vitu vingi sana wala sibishi...Ila hoja yangu ni je, kweli tatoo ni natural color ya mtu,kuwa kazaliwa nayo?....umezungumzia mambo ya suti na kanzu,nadhani mfano wako sio relevant maana swali ni je wewe kama wewe unaweza amua kutembea uchi bila nguo kama ndo new lifestyle yako na usiache watu wakuhukumu kwa kisingizio kuwa that is your choice???.....kuna vitu ni ngumu sana kuvichukulia poa mzeebaba.
Kwani wapi nimesema tattoo ni natural color?

Mbona unahoji vitu ambavyo sijaandika?

Nimeandik "rangi ya ngozi yake" sijaandika "rangi ya ngozi yake ya asili".

Zaidi, nimekupa muktadha wa nukuu kwa mifano iliyoenda mbali zaidi ya ngozi na rangi, nikaeleza principle hiyo kwa upana kwenye mavazi na hata vitabu.

Kwamba appearance can be deceiving.

Can you read with comprehension?

Are you that stupid?

Or are you just trying to be a troll?
 
"Tattoo ni rangi kwenye ngozi.

Kwani unafikiri ni sauti?"....rejelea hii comment yako hapo juu alafu ndo ujue kati yako na mimi na ni stupid....yaani unakana comment yako mwenyewe alafu unazungumzia mambo ya kuread with comprehension kweliiiii....dooh kazi ipo????
 
Pia kama appearance can be deceiving wewe ni nani kutaka kulazimisha uelekeo wa maoni yangu juu ya tatoo.
 
Ni muhimu kuheshimu maamuzi ya wenzetu yaliyo katika uhuru wao, hata kama hayatupendezi.

Hususan kama maamuzi hayo hayatupunguzii wala kutuongezea kitu.

Kwenda kinyume na hivyo ni kutaka ku control watu baki kwenye maisha yao.

Na kwa kufanya hivyo, tutawekq msingi mbaya wa watu wengine kuanza kutupangia sisi jinsi ya kuishi.

Leo ukianza kumpangia mtu asijiweke tattoo, jambo ambalo halinq imoact yoyote kwako, unawekq msingi kesho mtu kukuambiabwewe utumie Android tu na si Apple au Apple tu na si Android.

Unampa mtu nafasi ya kukupangia uweke hela zako CRDB tu nabsi benki unayoitaka.

Huu ni uvamizi na unyanyapaa wa uhuru wa mtu binafsi ambao unatetewa kikatiba.
 
"Tattoo ni rangi kwenye ngozi.

Kwani unafikiri ni sauti?"....rejelea hii comment yako hapo juu alafu ndo ujue kati yako na mimi na ni stupid....yaani unakana comment yako mwenyewe alafu unazungumzia mambo ya kuread with comprehension kweliiiii....dooh kazi ipo????
Kwani tattoo si rangi kwenye ngozi?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Mbona umeacha kuongelea "natural color"?
 
Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo.
Tatoo ni urembo kongwe sana katika jamii mbalimbali za kiafrika. Wanawake kwa wanaume walijichora tatoo. Urembo huo ulipewa majina na maana tofauti Kati ya jamii na jamii.

Hivyo siyo jambo geni.
 
Pia kama appearance can be deceiving wewe ni nani kutaka kulazimisha uelekeo wa maoni yangu juu ya tatoo.
Mimi sijataka kulazimisha uelekeo wa maoni yako juu ya tatto.

Una uhuru wa juwa na maoni.

Mimi sizungumzii maoni, nazungumzia fact.

Na sijaanzisha mada, najibu hoja ambayo imeanzishwa. Kitu ambacho ndiyo point nzima ya forum.

Fact1: Watu wana uhuru wa kikatiba kujichora tattoo.

Fact2: Hakuna sheria inayowakataza kujivhora tattoo.

Fact3: Hujaweza kubadilisha fact 1 na 2 za hapo juu.

Jifunze kuishi katika ulimwengu wenye watu wanaooenda vitu ambavyo wewe hupendi. Hususan kama havikuongezei au kukupunguzia chochote.

Unaponijia juu na kuniuliza mimi ni nani kulazimisha maoni yako kuhusu tatoo, kitu ambacho mimi sijafanya, nitakuuliza wewe ni nani mpaka uwapangie watu wasijichore tattoo?
 
Tatoo ni urembo kongwe sana katika jamii mbalimbali za kiafrika. Wanawake kwa wanaume walijichora tatoo. Urembo huo ulipewa majina na maana tofauti Kati ya jamii na jamii.

Hivyo siyo jambo geni.
Wafundishe wapate elimu.

Yani tumekuwa brainwashed tunataka kuwa "wazungu" kuliko "wazungu" wenyewe.

Hii concept ya kudharau tattoo ina mizizi Ulaya, ambako tamaduni zote za kigeni zilionekana ushenzi.

Hata Wamakonde wana tattoo za utamaduni.

E476C00C-175F-464F-A0CF-159FD77CF0ED.jpeg
 
Tunawalazimisha sana. Mimi binafsi madem 4 wameniandika tatoo na hawajijui
 
Back
Top Bottom