Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Mabi hata wawe kumiKwani ni sawa wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Amekosa pa kumuwekaKwani ni sawa wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Kwani sheria inasemajeKwani ni sawa wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Mdau kumbe nawe unajua hizi michezo za spinning zinazofanywa na Intelligence agencies...? Yaani ku divert attention tuKafanya maksudi ili mumuongelee .. spinning
Wamempleka huko ili akatikise matako pamoja na akina shilole na nandyKwani ni sawa wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa, na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Sina uhakika ila uhusiano wa bashiti na mfuga chawa waweza kuwa hadi ndani hasa kwenye agecya mishangaziKwani ni sawa wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa, na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
tamisemi wizara kubwa sana nadhani ndo ina waajiriwa asilimia 40 ya wafanya kazi wote wa serikali na hata budget yake ni asilima 33 ya nchi nzima ndo engine ya taifa kiutendajiUwepo wa manaibu wawili sio mara ya kwanza. Baraza lililopita TAMISEMI na fedha ilikua na manaibu wawili
Tumeondolewa lini kwenye huu mchakato?Nadhani ni kwa ajili ya mambo ya AFCON, AMBAYO WANADHANI BADO IPO KUMBE ITAKUWA KENYA NA UGANDA TU SISI HATUMO
Humu kuna vilaza wengi Sana mkuuUwepo wa manaibu wawili sio mara ya kwanza. Baraza lililopita TAMISEMI na fedha ilikua na manaibu wawili