PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mnatoka kwenye reli mnapata wapi ujasiri wa kujadili barazA feki?
Dah mkuu, kujadili siyo kuunga mkono wala kufurahia.

Tukijifunga sana tutashindwa hata kuongea sasa.

Siwezi kuipenda au kuiunga mkono Serikali dhalimu mie.
 
... Makonda NDO kwanza anaingia bungeni, huoni kabahatika hata hivyo?
Watu walitaka akabidhiwe wizara wakifanye kioja!
 
Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili?

Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa?

Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu.

Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Mwana FA hapo ni kwamba yuko kumalizia kukabidhi ofisi tu.
Makotako ndo kashapewa zawadi hiyo unaibu.
Badae ataagwa huyo mgosi.
 
Hiki cheo cha waziri kinatumika vibaya sasa, Katiba mpya inapaswa iweke wazi vigezo vya waziri ni lazima mtu awe na angalau degree.
 
Junior kwenye ubunge na hata uwaziri, lakini haaminiki pia.. Mdomo mwingi
Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili?

Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa?

Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu.

Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Tena wizara nyepesi kama ya michezo
 
Atakuwa naibu anayeshughulikia nyama choma
 
Back
Top Bottom