Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli ni muhimu tutumia njia halisi kupambana sio kwa kuwa amini sana hawa motivation speakersUKiambiwa utakubali? Una moyo? Utayaweza? Kama huna vyote hivi tulia mkuu tafuta tu pesa polepole
Mtu akisema alianza kwa kuuza karanga leo anamiliki kisiwa sio uongo kwamba halikuwa hauzi Karanga huenda alikuwa anauza na Bangi na Mirungi (sasa unataka akwambie kwamba na Mirungi aliuza) na kodi alikuwa halipi ?Unasikiliza lakini wana vyosema haviendani na uhalisia. Not logical
Yule aliyekamatwa na Semi-trailer lenye Mabomba kumbe limejaa Wahamiaji haramu unadhani wanaweza kusema ukweli zaidi ya Kukwambia tu Biashara ya Bomba inalipa.Wasalam wakuu,
Imekuwa ni jambo la kawaida matajiri wakihojiwa kuhusu utajiri wao utasikia anasema nilianza na baiskeli sasa
namiliki kampuni kubwa ya mabasi. Mwingine atasema nilianza mama ntilie leo namiliki hoteli kadhaa mjini, mwingine anasema nilianza kushona viatu ila sasa na miliki kiwanda cha viatu, mara nilianza na mtaji wa 20,0000 sasa nina billion 5.
Wanaeleza mambo kana kwamba ni mepesi sana na baadhi ya vijana wasio fikirisha akili yao vizuri wana chukua kama ilivyo wana hamasika wana enda kupambana bila mafanikio, matokeo yake wanakata tamaa zaidi. Jamani kama alivyo wahi sema Mh raisi mstaafu Jakaya Kikwete kwamba akili za kuambiwa changanya na za kwako hii ni muhimu sana.
Nyie mna mtizamo gani ndugu wanabodi.
Mkuu uko sahihi kabisa ktk mada yako, bahati mbaya sana Jambo hili huo halitupiwi jicho la mashaka coz wahusika ni matajiri, so vijana wanabugia hayo matangopori bila hata kuzingatia kauli ya mstaafu mzee jakaya.Unasikiliza lakini wana vyosema haviendani na uhalisia. Not logical
Uko sahihi sana.Mtu akisema alianza kwa kuuza karanga leo anamiliki kisiwa sio uongo kwamba halikuwa hauzi Karanga huenda alikuwa anauza na Bangi na Mirungi (sasa unataka akwambie kwamba na Mirungi aliuza) na kodi alikuwa halipi ?
Hiki ndio kimepelekea vijana wengi wamedata kwa kukimbilia mali au kishabikia habari za uongo.Mkuu uko sahihi kabisa ktk mada yako, bahati mbaya sana Jambo hili huo halitupiwi jicho la mashaka coz wahusika ni matajiri, so vijana wanabugia hayo matangopori bila hata kuzingatia kauli ya mstaafu mzee jakaya.
HahahaTafuta utajiri wako ili uwe tajiri wa kwanza mkweli.
Simple tu, mkuu!
Hili ndio la muhimuTafuta fedha usikate tamaa.
Ni kwa mkuu vijana wana babaishwa kifikra kwa sababu ya maneno yao. Mfano kama hawa akina Mwijaku na Babalevo kwamba wana miliki majumba ya billion kwa kufanya tu uchawa na baadhi ya watu wana amini.Mkuu uko sahihi kabisa ktk mada yako, bahati mbaya sana Jambo hili huo halitupiwi jicho la mashaka coz wahusika ni matajiri, so vijana wanabugia hayo matangopori bila hata kuzingatia kauli ya mstaafu mzee jakaya.
Kabisa mkuuMkuu uko sahihi kabisa ktk mada yako, bahati mbaya sana Jambo hili huo halitupiwi jicho la mashaka coz wahusika ni matajiri, so vijana wanabugia hayo matangopori bila hata kuzingatia kauli ya mstaafu mzee jakaya.
Ndio maana machawa wameongezeka na wao wanaamini watatoboa.Ni kwa mkuu vijana wana babaishwa kifikra kwa sababu ya maneno yao. Mfano kama hawa akina Mwijaku na Babalevo kwamba wana miliki majumba ya billion kwa kufanya tu uchawa na baadhi ya watu wana amini.
Wanga wanakuwaangia,wanatafuta chanzo kikuu Cha ustawi wako,kama ni mke anaanza kuzingua,kama ni kazi migogoro inaaanza kazini,kama ni duka wanakunyima wateja au chuma ulete na short!Unapigwa na Shetani Mizinga na Chupiiiii
Kitu ambacho tumekosa ni fikra tunduizi ( Critical thinking) ndio maana watu wana danganywa kirahisi.Hiki ndio kimepelekea vijana wengi wamedata kwa kukimbilia mali au kishabikia habari za uongo.
Mtu anakwambia kauza mayai akawa tajiri kwani Hayo mayai alikiwa anauza peke yake? nchi nzima Tajiri wa Mayai awe mmoja tu?
Ni kweli kabisa atapenda kueleza zile ambazo hazita mletea aibu.Success is mystery
Hakuna kitu utaambiwa kitakacho-make sense kwako
Kila kitabu cha MTU huwa kina kurasa zake. Ambazo hawezi kukubali zisomwe kwa Sauti.
Kwanini nchi hii watu mnachuki na watu waliofanikiwa ni lini nchi ilikuwa tajiri kwanini hamtaki kuamini walianza kuuza karanga mpaka kutajirika ni kama vile darasa ni Moja lakini wapo wachache wanapata div 1 na wengine wanapata div 0 hilo linawezekana kabisaWasalam wakuu,
Imekuwa ni jambo la kawaida matajiri wakihojiwa kuhusu utajiri wao utasikia anasema nilianza na baiskeli sasa
namiliki kampuni kubwa ya mabasi. Mwingine atasema nilianza mama ntilie leo namiliki hoteli kadhaa mjini, mwingine anasema nilianza kushona viatu ila sasa na miliki kiwanda cha viatu, mara nilianza na mtaji wa 20,0000 sasa nina billion 5.
Wanaeleza mambo kana kwamba ni mepesi sana na baadhi ya vijana wasio fikirisha akili yao vizuri wana chukua kama ilivyo wana hamasika wana enda kupambana bila mafanikio, matokeo yake wanakata tamaa zaidi. Jamani kama alivyo wahi sema Mh raisi mstaafu Jakaya Kikwete kwamba akili za kuambiwa changanya na za kwako hii ni muhimu sana.
Nyie mna mtizamo gani ndugu wanabodi.