myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sawasawa..Ustaarabu na dini imesawasaidia sana huku ukanda wa pwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa..Ustaarabu na dini imesawasaidia sana huku ukanda wa pwani
Kunipandia dau vipiHahahahah
Kama wewe ni Ke kweli, na humjui Yesu Kristo, niamini Mimi walikupandia dau usiku.
Pwani ya mtwara
Karibu mtwara bi Nuzulati ..Kama hautojaliNiliwahi kwenda huko nikiwa sina ndugu wala rafiki ila wale watu ni waungwana mno wana madhaifu mengine ila huko ni sehemu salama kuishi na kuolewa/kuoa huwezi chinjwa kikatili
Hapo lindi full ushirikinaNazungumzia Lindi na Mtwara haswa!
1. Kule husikii albino amechinjwa
2. Kule husikii wenye macho mekundu wameuawa kisa ni wachawi,
3. Kule husikii wenye upanja wamepigwa nondo ili zikatumike buchani
4. Kule husikii mtu amechunwa ngozi
5. Kule ni nadra kusikia wazazi, sijui mama, kutolewa uhai ili kuleta utajiri
6. Kule ni nadra kusikia makabila au koo wamepigana na kutoana uhai (ingawa kuna makabila mengi tu na yanapishana wakati mwingine),
7. Kule ni nadra kusikia mauaji ya kinyama kwa kisa cha mapenzi au kudaiana fedha
8. Kule ni nadra kusikia babu sijui mjomba amembaka mjuu/mpwa,
9. Kule ni nadra kusikia visa vya mabinti kutupa watoto chooni,
10. kule ni nadra kusikia binadamu ananyofolewa viungo ili vikauzwe vilete utajiri
11. Kule ni kawaida mgeni ukapokelewa na kuishi kama wananchi wengine bila wasiwasi n.k.
Wakati hali ikiwa hivyo, maeneo mengine kuna utofuti sana.
-Mauaji. JF kwa siku karibia nne au tano leo zimejaa thread za mauaji tu kwa visa vya mapenzi n.k. kisa cha hivi karibuni kuripotiwa ni hicho kilichotokea Tabora
-Ubakaji
-Utupaji wa watoto
-Ushirikina, kuna maeneo wazee eti wanakaa kabisa na kufanya tambiko ambapo mgeni anauawa kama kafara (mwalimu mmoja wa sekondari alikutana na dhahama hii sehemu fulani, alifuatwa akauawa na mwili wake kuchukuliwa kwenda kufanyiwa tambiko). pia, maeneo mengine tunaona na kusikia jinsi makaburi yanavyoenda kufukuliwa na maiti kutolewa na kurudishwa ilikotoka.....wafiwa wanaamka asubuhi wanakuta wamewekewa maiti ya ndugu yao waliomzika jana uwanjani.
na vingine vingi
Wajuzi/wafuatiliaji/ wasomi; sababu kubwa haswa ya hali hii ni nini? dini au?
Karibuni kwa uelimishaji.
Mara huko uswekeni hakuna anayefuatilia mambo ya huko, ghafra huko tunafuatilia korosho na gesi...! Unajipinga mwenyeweHuko ni uswekeni nani atafuatilia mambo ya huko ? Huko huwa tunafuatilia gas na korosho basi.
Huku Bado tunaishi maisha ya ujamaa tena pure socialism na dini kiasi ..huku hakuna kujiua au kuuana kisa mapenzi...wapenzi/wanandoa wakichokana Ni kuachana tu maisha yaendelee..Ni kweli na katika hilo napongeza japo nawapinga vikali waliosema sababu ni dini
Mimi ni mmoja kati ya watu niliyeleta mpaka nyuzi humu kuonesha huku wana tabia za tofauti (mbaya) sana ukilinganisha na sehemu nyingine.
Kuhusu dini ni kweli unakuta kijiji 99% ni waislamu lakini ni waislamu jina. Kuhusu hayo uliyoyasema yapo lakini kwa kiwango kidogo sana na (binafsi) huwa najiulizaga sana kwanini?
Yaani kwa amani na uhuru wa kuishi huku ni namba moja... mfano msimu ukiingia watu wanaenda kuchomoa pesa benki wanabeba kwenye mabegi kienyeji lakini mpaka msimu unaisha unasikia kalizwa pengine mmoja tu yaani hadi huwa nashangaa
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
mtwara
Hakuna mambo ya hivi mkuu.Watu wakusini(Pwani ya kusini)ni wastarabu sana na wakarimu.Huko hakuna cha ustaarabu wala nini ukimuibia au kudhulumu mtu mahakama ni kilinge,utarogwa wewe na ukoo wako asibakie mtu,so watu wanaogopana,kuna vijiji ukienda na gari bila kuripoti kwa vizee fulani gari inazima yenyewe,au umpe binti mimba ukatae itaamia kwako
Conspiracy theoriesWanauana kishirikina kuna sehemu imaitwa ngende
Hujui kituHiyo ndo point. Hakuna pilika za pesa ndio maana pako hivyo ywani ni full umaskini.
Pili usambaaji wa taarifa na huduma za jamii mikoa hii bado ni shida sana
konde music worldwide
Dini imechangia 100%
Huku Bado tunaishi maisha ya ujamaa tena pure socialism na dini kiasi ..huku hakuna kujiua au kuuana kisa mapenzi...wapenzi/wanandoa wakichokana Ni kuachana tu maisha yaendelee..
Huku watu sio wabinafsi km Arusha au Kilimanjaro watu hawana hulka na Mali..
Huku Ni kawaida Sana mzazi kukuozesha mwanae bure kabsa au mahari kidogo tu