Nini sababu ya mikoa ya Kusini kuwa salama sana kibinadamu?

Nini sababu ya mikoa ya Kusini kuwa salama sana kibinadamu?

Pesa ndiyo tatizo. Kumbuka wanategemea korosho na nyumba za kule za kawaida sana. Utakuta mishamba ya korosho mingi ila maisha ya watu wake ni duni. Akikutana na ww anaona ndiyo afadhali yake huenda akapona.
Nilikuwa masasi, kutoka Masasi mjini mpka kijiji cha Namatunu unatembea dk 45 mpk 50 hivi lkn cha kushangaza hakina umeme. Nilishangaa halafu maji ni ya shida sana.
Ben aliwahi kuwa Rais, au ndio yule mkewe Mch-@ga alimkontrol nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kwenda huko nikiwa sina ndugu wala rafiki ila wale watu ni waungwana mno wana madhaifu mengine ila huko ni sehemu salama kuishi na kuolewa/kuoa huwezi chinjwa kikatili
Bila shaka jimbo liko wazi waoaji tuje
 
Kama uliulizwa huko halafu unataka upate nondo kwangu pole sana.
Kuimba Taarabu ndiyo asili yenu. Kwa vile baba yako alikua anaimba taarabu unafikiri wote wanaimba taarabu.
Wewe ni mpumbavu,ndio nyie mlikua mnapayuka humu Afghanistan ni waarabu,
Una nondo gani wewe kichwa panzi?
 
Unaanzaje kumuonea wivu mwanamke wa kimakonde?
Vifupi, sura imekoma na hawana shepu. Nishafika Mtwara na Lindi
Nyumba za kizamani bora hata Masasi kuna nyumba mpya
Cha kushangaza kutoka Dar mpk Mtwara 23,000
Dar to Lindi 23,000
Dar to Masasi 23,000
Sasa hapo mzee wangu kinachokushangaza Nini ???
Tunajadili hoja katili zilizopo huko mnakoita Kuna maendeleo...huku mkimalizana kuuana..
Suala la maumbile umelileta kipuuzi ..shame on you..

Hili la nauli umepika nalo...nauli ina vary kulingana na gari...huwezi kuniambia machinga na maning nice ambayo Ni luxury eti nauli sawa...acha ushamba bwana mdogo...
 
Kingine hizi ni jamii ambazo kwa msingi fulani ni promiscuous na mwanamke mmoja anaweza kuwa na wanaume wengi tu na wote wanafahamiana na kusiwe na tabu yoyote.
Hapa umepika uongo mzee wangu mm nimezaliwa mtwara na nafanya kazi Lindi hii movie yako ya polyandry sijaiona labda useme michepuko ambapo ht huko kaskazn ndio balaa na visanga..
 
Ben aliwahi kuwa Rais, au ndio yule mkewe Mch-@ga alimkontrol nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Alingalia hata viongozi wanaotoka kusini au mwambao wa pwani hawana hulka mbovu..mkapa ,majaliwa ,kikwete ,,jaffo,,na ni nadra kuwakuta kwny list of shame ..mafisadi yote ya nchi hii yanatoka huko kwa walevi wa pombe za ndizi na matambala
 
Hapa umepika uongo mzee wangu mm nimezaliwa mtwara na nafanya kazi Lindi hii movie yako ya polyandry sijaiona labda useme michepuko ambapo ht huko kaskazn ndio balaa na visanga..
Hujaielewa hoja yangu vizuri sijasema wanaoana polyandry mkuu.
 
Kingine hizi ni jamii ambazo kwa msingi fulani ni promiscuous na mwanamke mmoja anaweza kuwa na wanaume wengi tu na wote wanafahamiana na kusiwe na tabu yoyote.
Bwana @@peter njoo ututafsrie hii part Mana mm nimekuelewa sivyo
 
Bwana @@peter njoo ututafsrie hii part Mana mm nimekuelewa sivyo
Wapi nimetaja neno kuolewa polyandry.

Nimesema anaweza kuwa na wanaume wengi tu na wote wanafahamiana bila shida yoyote.

Sijasema kuolewa na wanaume wengi at once.

Do you understand ?
 
Wapi nimetaja neno kuolewa polyandry.

Nimesema anaweza kuwa na wanaume wengi tu na wote wanafahamiana bila shida yoyote.

Sijasema kuolewa na wanaume wengi at once.

Do you understand ?
Kwhy unataka kutuambia kuwa mke anaweza kuwa na mahawala wa kiume wawili au watatu au wanne na wakawa wanajuana huku wakipishana mlangoni kila mmoja anapotoka kula mbususu na wala pasiwepo ugomvi???
Jibu Kama Kingai
 
Wamakua ?
Kuna watu hawa ni warefu ila ni wakazi na wazawa wa Masasi, si Wamakonde ila jina limenitoka, ni wasomi na ndio wanaoupaisha mkoa wa Mtwara. Sio wafupi kama Wamakonde, na wana sura ndefu na weusi chini ya macho. Kabila lake na Mkapa sijui akina nani. Wengi wapo kama Wamasai kwa sura na mionekano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko hakuna cha ustaarabu wala nini ukimuibia au kudhulumu mtu mahakama ni kilinge,utarogwa wewe na ukoo wako asibakie mtu,so watu wanaogopana,kuna vijiji ukienda na gari bila kuripoti kwa vizee fulani gari inazima yenyewe,au umpe binti mimba ukatae itaamia kwako
Uongooo
 
Ni evolution ya kibinadamu kutokana na mazingira na tamaduni.

Mfano ni kwanini mambo kama hayo huyasikii america au canada lakini unayasikia baadhi ya maeneo Tanzania?
well sababu americans na canadians wameevolve zaidi kibinadamu.
hivyo mambo kama ubinafsi, uchoyo, roho mbaya, ukatili nk ni vigumu kuwepo.
That's why unaweza kuta mmarekani anaishi na mnyama kama binadamu lakini fulani huku ana tabia za mnyama.

Miaka kadhaa nyuma binadamu alikuwa hana tofauti na wanyama wa msituni baadae sana ndio alianza kustaarabika na kujitoa msituni then kujitofautisha na wanyama wengine. sasa baadhi sehemu tanzania watu wametoka msituni lakini bado deepdown wana characteristics za wanyama wa porini considering wamekosa exposure ya outside world.

Hawa watu wenye tabia za kuuana kwa vitu vidogo bado hawajaevolve enough kufikia hatua ya kuwa binadamu na kustaarabika means hawana tofauti na wanyama.
ndio maana kuua, ubinafsi, roho mbaya, ukatili, uchoyo, tamaa, umasikini bila kusahau majigambo ambayo yanasababishwa na ubinafsi. havikauki wala kuisha.

Yote kutokana na mazingira na tamaduni zao.
 
Back
Top Bottom