- Thread starter
- #121
uchawi upo karibu kila sehemu tanzania hii, huwezi kuamni nililishwa chura dar hiyo unayoifahamu mwaka 2011.....kwa uwezo wa Mungu nikawa nayaona yote nikiwa nusu nimelala na nusu niko macho. Mungu akanisaidia kujiokoa!Kwa mtu asiefahamu Mtwara pananuka ulozi..
Mimi kwa mara ya kwanza nilishindana na Nguvu za giza nikiwa Mtwara, huko ndipo nilijua Mapambano katika ulimwengu wa roho yapoje..
hoja ni kwamba hakuna vitendo vya ajabu ajabu.....huo ulozi wao mbona hawakati nyeti za watu au kuwachuna kabisa?