Nini sababu ya mikoa ya Kusini kuwa salama sana kibinadamu?

Unaanzaje kumuonea wivu mwanamke wa kimakonde?
Vifupi, sura imekoma na hawana shepu. Nishafika Mtwara na Lindi
Nyumba za kizamani bora hata Masasi kuna nyumba mpya
Cha kushangaza kutoka Dar mpk Mtwara 23,000
Dar to Lindi 23,000
Dar to Masasi 23,000
Kuna watu hawa ni warefu ila ni wakazi na wazawa wa Masasi, si Wamakonde ila jina limenitoka, ni wasomi na ndio wanaoupaisha mkoa wa Mtwara. Sio wafupi kama Wamakonde, na wana sura ndefu na weusi chini ya macho. Kabila lake na Mkapa sijui akina nani. Wengi wapo kama Wamasai kwa sura na mionekano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikujibu nini mzee?.
Rudi usome comment yangu maana unaona umekurupuka na wenge huko ukakimbilia kuniquote.
Kapige mswaki na unawe uso halafu uje usome nilichokiandika
Nisome vizuri nini? jibu swali acha porojo.
 
Nikujibu nini mzee?.
Rudi usome comment yangu maana unaona umekurupuka na wenge huko ukakimbilia kuniquote.
Kapige mswaki na unawe uso halafu uje usome nilichokiandika
Umeanza kuimba taarabu badala ya kujibu ulichoulizwa?
Jibu swali acha mipasho,huna jibu futa upuuzi uliouandika mwanzo.
 
Kule nilikutana na kabila la wamakua. Wala panya wazuri
Siku hiyo nilishuhudia panya analiwa LIVE. Cha ajabu wanatuita washamba kwasabb hatuli panya
 
Kama uliulizwa huko halafu unataka upate nondo kwangu pole sana.
Kuimba Taarabu ndiyo asili yenu. Kwa vile baba yako alikua anaimba taarabu unafikiri wote wanaimba taarabu.
Umeanza kuimba taarabu badala ya kujibu ulichoulizwa?
Jibu swali acha mipasho,huna jibu futa upuuzi uliouandika mwanzo.
Huwa sina muda na wajinga kama nyinyi
Rudi darasani ukasome tofauti kati ya "na & ni"
 
Unaanzaje kumuonea wivu mwanamke wa kimakonde?
Vifupi, sura imekoma na hawana shepu. Nishafika Mtwara na Lindi
Nyumba za kizamani bora hata Masasi kuna nyumba mpya
Cha kushangaza kutoka Dar mpk Mtwara 23,000
Dar to Lindi 23,000
Dar to Masasi 23,000
Ila kwa wanawake wa kimakonde ni kweli upo sahihi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikoa ya Lindi na Mtwara haina hiyo idadi kubwa ya waislamu hasa Mtwara mkuu.

Naweza kukubali Lindi inawaislamu wengi ila siyo Mtwara.

Kuhusu dini kuwa chanzo nakataa. Kwa sababu hata mikoa mingine ina dini pia

Usichokijua hizi jamii ni matrilinea society hivyo wanawake wanasauti katika familia kwa msingi huo hakuna male dominance.

Kingine hizi ni jamii ambazo kwa msingi fulani ni promiscuous na mwanamke mmoja anaweza kuwa na wanaume wengi tu na wote wanafahamiana na kusiwe na tabu yoyote.
 
Sema huko Mtwara zinaa nje nje. Vibinti vinajirahisi sana kwa wanaume na kwa Mtwara kulala na Mke wa mtu ni jambo rahisi mno.

Sijui hii inasababishwa na nini.
 
Kuhusu uhalifu mdogo mdogo ni mkubwa sana ikifika msimu wa mavuno watu wanalazimika kulala mashambani kulinda mazao yao.

Kingine utambue hizi ni jamii ambazo zimekaa kimwinyi hivyo hazina imperialist tendencies ndiyo maana unaweza kuzunguka kijiji kizima usikute hata tajiri mmoja.

Kingine hii ni jamii ambayo haijawa infiltrated na mila tofauti hivyo kuna harmony kubwa sana wanachojali ni sherehe za unyago na harusi tu.

Ni kweli ni jamii salama ila elements za utapeli kiasi
 
Wamakua huwa hawaelewani na wamakonde wanadai wamakonde wanadharau na wanakiburi sana.
Kuna washikaji walikuwa wanaandaa shamba. Wakachoma shamba majani pale kwa bahati mbaya moto ukasambaa mpaka shamba la jirani ukaunguza mkorosho. Mwenye mkorosho akaja.
Jamaa wakaitwa, wakaulizwa nyie ni kabila gani wakasema ni wamakua. Jamaa akasema mngekuwa ni wamakonde nisingewasamehe. Tukamuuliza kwanini akasema
Wanadharau sana na kiburi
Picha ikaja kwa Harmonize kwa Diamond
Itakuwa ndio hao eeeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Cha ustaraabu wala Nini.

Watu wa huko bado wako primitive na hawana exposure.

So matukio yanatoka na hayatangazwi.
 
Pesa ndiyo tatizo. Kumbuka wanategemea korosho na nyumba za kule za kawaida sana. Utakuta mishamba ya korosho mingi ila maisha ya watu wake ni duni. Akikutana na ww anaona ndiyo afadhali yake huenda akapona.
Nilikuwa masasi, kutoka Masasi mjini mpka kijiji cha Namatunu unatembea dk 45 mpk 50 hivi lkn cha kushangaza hakina umeme. Nilishangaa halafu maji ni ya shida sana.
Sema huko Mtwara zinaa nje nje. Vibinti vinajirahisi sana kwa wanaume na kwa Mtwara kulala na Mke wa mtu ni jambo rahisi mno.

Sijui hii inasababishwa na nini.
 
Kule uwezi kusikia uviko umeua watu maarufu.Nafikiri jamaa wanamcha sana Mungu
 
Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…