uchawi upo karibu kila sehemu tanzania hii, huwezi kuamni nililishwa chura dar hiyo unayoifahamu mwaka 2011.....kwa uwezo wa Mungu nikawa nayaona yote nikiwa nusu nimelala na nusu niko macho. Mungu akanisaidia kujiokoa!Kwa mtu asiefahamu Mtwara pananuka ulozi..
Mimi kwa mara ya kwanza nilishindana na Nguvu za giza nikiwa Mtwara, huko ndipo nilijua Mapambano katika ulimwengu wa roho yapoje..
Kusini ni matakoni mwa nchiimenibidi nicheke tu kwanza!
wilaya iliyo mbali kuliko zote na inayosemekana ipo porini ni liwale. nilifika huko liwale ndani kabisa katika kuhangaika na maisha na nimekuta vijana kwa wazee wana masmart phones kama kawaida. unazungumzia umaskini, safi kabisa....hivi uko wapi mkuu?!!! singida au simiyu? kigoma au tabora?
wekeni usharobaro, ulimbukeni na ujivuni pembeni tuchambue mambo kigreat thinkers!!
Bora umemjuza huyo hakuna sehemu yenye uchawi mbaya kama daruchawi upo karibu kila sehemu tanzania hii, huwezi kuamni nililishwa chura dar hiyo unayoifahamu mwaka 2011.....kwa uwezo wa Mungu nikawa nayaona yote nikiwa nusu nimelala na nusu niko macho. Mungu akanisaidia kujiokoa!
hoja ni kwamba hakuna vitendo vya ajabu ajabu.....huo ulozi wao mbona hawakati nyeti za watu au kuwachuna kabisa?
bado hujanishawishi mkuu. yaani ni hilo tu? kwa sasa habari za pembe zote kusini zinapatikana..........barabara safi na mitandao ipo. una uwezo wa kutoka lindi/mtwara asubuhi ukafika dar saa tano ukafanya mambo yako na saa mbili usiku ukawa umeshafika tena lindi/mtwara.Kuna population ndogo kuliko Kanda nyingine
Ule msemo wa penye watu kuna mengi unaaplly hapa
hahahaa, mi nimedeal na tone yako tu basi...nimegeukia comments zingine!Huko ni maarufu sana kwa kuchuna ngozi za watu na kuua watoto au kuwatoa watoto wao kafara huko kusini si sehemu salama Afrika nzima
oh, kumbe!AWa
Watu wa kusini wamejawa na maadili ya Dini hiyo ndo sababu Kuu,na ukimuona Katili basi huyo ni wale waliovuka kutoka kwa mreno
kiwango cha kufake maisha kimekuwa kikubwa sana siku hizi mkuu!Kama matukio yanatokea na hayatangazwi wewe umejuaje kama yanatokea?
I can see you're fighting with your own mind!
Huo ndo ukweli.Kama matukio yanatokea na hayatangazwi wewe umejuaje kama yanatokea?
I can see you're fighting with your own mind!
Mkuu hizi ni nyodo na shombo za kike ambazo wanapaswa kuwa nazo wanawake.
wanaume hawana tabia kama hizi na hawapanic bali wanajibu hoja kwa hoja na facts kwa facts.
haya, mchango umepokelewaWaendelee kula panya tu.
hii nasikia kwako, ngoja tuendelee kufuatilia tusikie zaidiHuko ni maarufu sana kwa kuchuna ngozi za watu na kuua watoto au kuwatoa watoto wao kafara huko kusini si sehemu salama Afrika nzima
kweli mkuu, atakuwa anaisema sumbawanga huyoWew sasa unazungumzia sumbawanga na sio Lindi na Mtwara
eeeh?!!!!Barbara Iringa-Mbeya, alama za barabarani zipo, hazing'olewi na kupelekwa chuma chakavu.
Dar ndipo ninapoishi, Uchawi wa dar kwaajili ya biashara.Bora umemjuza huyo hakuna sehemu yenye uchawi mbaya kama dar
nimeamua kujihusisha sababu nimetoa mada; kiongozi kwa maneno haya ni dhahiri kwa sisi wataalamu wa kisaikolojia tumeshajua kinachokusumbua.......udogo wa maumbile (kibamia) na upungufu wake wa nguvu bila shaka; hiyo ndo defensive mechanism uliyojichagulia....i am sorry!Njomba nchumali unataka nini na mm? Ntu wa Ntwara wewe unayelima korosho?
Katika mikoa ya kijinga ambayo siwezi kumshauri mtu akatafute maisha ni Lindi na Mtwara. Watu wa huko wamekomaa, wana sura mbaya na roho kama ya korosho.
Ukianza kumuonea wivu mwanamke kimakonde utakuwa una kichaa. Vifupi, miguu vina migimbi na vimekomaa sura mpaka ngozi.
Hatujakataa hoja yako.uchawi upo karibu kila sehemu tanzania hii, huwezi kuamni nililishwa chura dar hiyo unayoifahamu mwaka 2011.....kwa uwezo wa Mungu nikawa nayaona yote nikiwa nusu nimelala na nusu niko macho. Mungu akanisaidia kujiokoa!
hoja ni kwamba hakuna vitendo vya ajabu ajabu.....huo ulozi wao mbona hawakati nyeti za watu au kuwachuna kabisa?
mkuu ni askari wa vita halisi kweli wewe au mbeba mahirizi?!!Dar ndipo ninapoishi, Uchawi wa dar kwaajili ya biashara.
Huko mtwara uchawi wenyewe, sio kwamba Kuna sehemu hakuna uchawi no.. upo kila sehemu ila mtwara sisi wazee wa vita kwenye ulimwengu wa roho tunaifahamu.
Silaha pesa.. hirizi urembo tu kwangu Mimi (hazinidhuru/siziogopi).mkuu ni askari wa vita halisi kweli wewe au mbeba mahirizi?!!