Nini siri ya mshahara kuwahi sana awamu hii ya 6?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Toka ameingia madarakani mama Samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.

Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo TAMISEMI.

Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara mapema hivi?
 
Mimi naona mwandishi yupo sahihi
Hivi unajua pesa usipoipata kwa wakati ni sawasawa na hasara!
Ukitaka kuishi tofauti na malengo yako wewe pata pesa baada ya wakati. Ni kipindi ambacho mtu utaona umepata pesa nyingi lakini zinaishia kulipa madeni.
 
Toka ameingia madarakani mama samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.

Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo Tamisemi.

Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara mapema hivi?
Vyovyote vile siku ni zile zile 30
 
Nywele ni Nywele tu!
Za Kwapa - Nywele!
Za kifuani - Nywele
Za Kichwani - Nywele
Za chini ya kidevu - Nywele
Za Ulimi - Nywele
 
Toka ameingia madarakani mama samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.

Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo Tamisemi.

Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara mapema hivi?
Wapunguze manung'uniko
 
Utakuwa umeajiriwa jana. Mzee Mkapa aliwahi kutoa mshahara tarehe 19 hadi 21.

Huyo mama hana jipya.
 
Back
Top Bottom