ha ha amna wakuniambia kitu niko kwenye utumishi wa umma since 2009 so i used to it pamoja mwambaKuna mtu atakuja na kutoa povu...chakata salary hiyo mkuu tunaishi mara moja tu...mwagilia moyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha amna wakuniambia kitu niko kwenye utumishi wa umma since 2009 so i used to it pamoja mwambaKuna mtu atakuja na kutoa povu...chakata salary hiyo mkuu tunaishi mara moja tu...mwagilia moyo
Ili ziwahi kufika mtaani kupunguza ugumu wa maisha na kuongezazunguko wa pesa 🤸Toka ameingia madarakani mama Samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.
Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo TAMISEMI.
Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara mapema hivi?
Simple. Hawezi kukuumizwa sehemu zote, ana kufurahisha huku na kukupiga pakubwa sehemu nyingine. Madhara yake mengine ni hapo hapo (Kama tozo na kupanda bei vitu mbalimbali). Madhara mengine ni mtambuka utaumia baadaye ama watoto wako. Kama kukodisha vitalu vya wanyama poli na kuruhusu wanyama hai kusafirishwa nje achilia mbali kwenye madini yetu ambapo usimamizi Sasa hivi ni legelege sana.Toka ameingia madarakani mama Samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.
Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo TAMISEMI.
Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara mapema hivi?
😀 😀 😀 😀 😀 😀 jamaa umeuliza swali la msingi sanaa sema hata kuelewa ulichomaanishaMshahara kuwahi?
Ukilipwa tarehe 20 kila mwezi, na anayelipwa tarehe 30 kila mwezi. Utofauti wao ni upi?
Ila watu bana
Fala ni wewe hapo,nani kasema salary tayari? Last month uliingia tarehe 22 ,bila shaka kesho utasoma pimbi wewe
Toka ameingia madarakani mama Samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.
Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo TAMISEMI.
Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara mapema hivi?
Mkipewa late mnasema kuna siri, mkipewa mapema kuna siri, mkipewa kwa wakati kuna siri. Kwa vyoyote kuna siri