Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huo mshahara wa wife wako umeingia saa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata tarehe 10 ukilipwa ni sawa kwani za wizi?Toka ameingia madarakani mama Samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.
Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo TAMISEMI.
Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara mapema hivi?
au unakua unaingia mapema alfajiri?Hivi unasemaje mshahara umewahi wakati inachukua siku 30 kuingia? Mfano mwezi ulopita uliupata tarehe 22 mwezi unaofuata unaupata tarehe 22 tena, hapo mshahara umewahije?
We yako siku ngapi?
NakaziaHivi jamani ukilipwa tar 16 had 16 mwezi mwingine. Na tar 30 hadi 30 ya mwezi mwingine.
Kuna tofauti gani hapo?
Enzi ya mwendazake nipo alosto lindo kwa unaa wa RSM mmoja ghafla sms ikaingia, kucheki ni salary ya december na hapo ni tarehe 19
Labda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]au unakua unaingia mapema alfajiri?
Hiyo kazi ya JPM acha uchawa pro max 13Toka ameingia madarakani mama Samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.
Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo TAMISEMI.
Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara mapema hivi?
Hiyo kazi ya JPM acha uchawa pro max 13
mshahara bado hata kwangu ila nimeaangalia salary slip ya mwezi may iko tayariii wajuzi mtujuzeHao wanaosema salary tayari mbona kwangu bado, wako vitengo gani wenyewe!
Mimi tangu jana nikisikia sms kwenye simu najua tayari lakini ninachokutana nacho ni Afyacall na postcode nakwama wapi mimi
,😁😁😁😁Hao wanaosema salary tayari mbona kwangu bado, wako vitengo gani wenyewe!
Mimi tangu jana nikisikia sms kwenye simu najua tayari lakini ninachokutana nacho ni Afyacall na postcode nakwama wapi mimi