Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Sasa ukipata mshahara tar 21 ndo umepata kwa wakati?Mimi naona mwandishi yupo sahihi
Hivi unajua pesa usipoipata kwa wakati ni sawasawa na hasara!
Ukitaka kuishi tofauti na malengo yako wewe pata pesa baada ya wakati. Ni kipindi ambacho mtu utaona umepata pesa nyingi lakini zinaishia kulipa madeni.
Ukiutumia huo mshahara hadi tar 31 ukaisha ina maana utapewa mwingine tar 21 hapo ni siku 30 za mwezi. Hakuna tofauti yoyote. Labda kwa vile mmeambiwa msifie kila kitu bila kufikiria basi sifieni kupata hiyo tar 21.