Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Elimu Elimu Elimu.Hivi jamani ukilipwa tar 16 had 16 mwezi mwingine. Na tar 30 hadi 30 ya mwezi mwingine.
Kuna tofauti gani hapo?
just psychology tu ya kucheza na foolsHivi jamani ukilipwa tar 16 had 16 mwezi mwingine. Na tar 30 hadi 30 ya mwezi mwingine.
Kuna tofauti gani hapo?
Vyovyote vile siku ni zile zile 30Toka ameingia madarakani mama samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.
Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo Tamisemi.
Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara mapema hivi?
IQ ndogo ya watanzaniaHivi jamani ukilipwa tar 16 had 16 mwezi mwingine. Na tar 30 hadi 30 ya mwezi mwingine.
Kuna tofauti gani hapo?
Wapunguze manung'unikoToka ameingia madarakani mama samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.
Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo Tamisemi.
Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara mapema hivi?
Utakuwa umeajiriwa jana. Mzee Mkapa aliwahi kutoa mshahara tarehe 19 hadi 21.Toka ameingia madarakani mama samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana.