Nini Siri ya Rais Samia "Kumtumbua Boss" Usalama wa Taifa?

Once a DG wa TISS always a DG wa TISS.


Hapo ni TISS kazini.


Usinisemeshe mengi.
 
Sababu kubwa ni rais kutimiza majukumu yake. Kama unaona kuna la ziada hilo ni juu yake. Hakuna sheria iliyovunjwa ni jambo la kawaida.
 
Haya mambo aliyaanza JPM chuma ya kutumbua na kubadilisha wakuu wa kaya kule kitengoni wakati wa JK au mkapa hukusikia mkuu wa Tiss anatumbuliwa mara anahamishwa. Marehemu Mzee Khatibu angekuwa hai naye angeteuliwa .
Wanakurupuka kuteua ndio maana mabadiliko kila siku.
 
DPW inaondoka na wengi sana.
*Ndugai.
*Diwani.
*Hussein Massoro.
 
Idara.. sijajua qualities za kuwa ktk IDARA... Naona kuna uwalakini mahari.

So far..... Jeshi limekaa pale haliguswi guswi
 
WA TANZANIA NI WASAULIFU ILA KILICHOMTOA SIWA NI ISSUE YA SATIVA KASHINDWA FUATILIA ALITEKWA NA NANI NA MAMA HATAKI DAMU SASA MILLION 35 KUONDOKA HIVYI HIVYI NI UJINGA
 
Katika Idara ambayo rais wa sasa amejua kuigaragaza na kuiondolea ule ukuu wake ni idara ya Usalama wa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…