Nini Siri ya Rais Samia "Kumtumbua Boss" Usalama wa Taifa?

Nini Siri ya Rais Samia "Kumtumbua Boss" Usalama wa Taifa?

Leo Rais Samia ametumbua aliyekuwa Boss wa TISS (Usalama wa Taifa), Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi na kumeteua Boss Mpya Balozi Ali Idi Siwa

Wanajamavi, watu wenye connection, wajuzi wa mambo, tuambiane nini chanzo cha Massoro kuliwa kichwa mapema hivi?

Soma:
- Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
Swqhiba alitoboa pakacha likavija na mpaka sasa mwezi wa tatu unakatika hali ni tete.

Kila mbinu ya tume ya mipango kilizima.hili jambo imefeli.

Kimsingi mama kachefukwa
 
Sijui watanzania muhakikishiwe vipi huyo mama tunalazimisha tu hiyo nafasi sio ya size yake.

Hivi unawezaje kukosea kufanya teuzi za nafasi sensitive kama hizo unabadili makatibu wakuu na DG wa usalama kirahisi kushinda mawaziri.

Hizo teuzi sio za mzaha kama za ma DC, kubadili badili hao watu ni ishara tosha huyo mama ashauriki katika mambo muhimu ya usalama na dira ya nchi.

Kashikwa akili na genge la wahuni kama washauri wake wakimwambia weka mzanzibari anadhani atavumilia uharibifu unaofanywa na genge la wahuni; kwa taarifa yake hakuna nyoka wazalendo wa Tanzania kama wanaotokea visiwani.

Busara ni kumshauri huyo mama kutofikiria 2025 ameshaharibu nchi vya kutosha ndani ya muda mfupi.
we utakuwa sukuma gang. mama tunae mpaka2030
 
Sababu niliyo penyezewa kutoka kwa mtu wa CIA Ni kwamba jamaaa amekahidi maagizo ya rais juuu ya dp world jamaa kamgomea mam kuwawpa warabu bandari
 
Hii inaonyesha jinsi gani Rais alivyona nguvu na mamlaka bila kujali yupo sahihi au kakosea.Huu ni uthibitisho tosha kama nchi tunaongoza na akili na mawazo ya raisi tu haijalishi ana akili sana au ni vile elimu ya kuungaunga tu.
Teeth inaonekana ni kama nyoka wa maonyesho tu kwa rais na si kama tunavyoaminishwa nguvu waliyonayo ni ndogo sana kwa viongozi wa juu huko. Nguvu yao kubwa ipo kwa raia wa kawaida kina zacharia , madeleka na wengine huku kina sisi.

Miezi 8 ? Fikiri tu ni miezi 8 amekaa bwana masoro kama DG kusudi la kuwekwa pale ndani ya miezi 8 litakuwa limekamilika kweli[emoji38]? Hata mimba tu inakaa miezi 9 sasa huku tunaambia DG katumia miezi 8 kitengoni hii inaonyesha kuteuliwa kwa DG kwenye taasisi yetu pendwa ni kama favor au zawadi tu kutoka kwa Rais sasa pale ukienda kinyume na mapenzi ya aliyepo madarakani unafukuzwa chapu then zawadi anapewa mwingine atakayefanya kazi ya kumpendezesha na kufuata maagizo ya Rais ndiye atakayekaa muda mrefu zaidi pale kitengo. Aliyepo madarakani akiiba basi DG unahakikisha hakuna anayejua.

Diwani na masoro wametolewa kwasababu gani? Wote hawa inaonekana kuna vitu hawakukubaliana na aliyewateua na si udhaifu wa utendaji kazi wao.
Hali ya kuwa mama anaweza kuteua tu hawa ma DG anavyotaka ni uthibitisho tosha tunaongozwa kwa akili za mama au akili za aliye nyuma ya mama na si kama tunavyoaminishwa kuwa Teeth wanatoa ushauri kwa rais bali ni chombo cha kupokea maagizo ya alichowaza rais bila kupinga endapo utafanya hivyo ndo tunaona matokeo yake unakaa miezi 2 mpaka 8 kama ndugu yetu masoro ni kama alienda kutalii tu pale Kitengo.

Miezi 8 ni michache sana ni kama mzaha kwa TEETH .
 
Mbarikiwa amemulaumu kila siku kwenye youtube yake kwamba amemuulia mtoto wake, labda ndio sababu
 
Tusisahau kwamba kuongoza taasisi yenye watu ni lazima pia uongoze watumishi wako kwa weledi na sheria pia ila kama utakuwa mbabe tuu na huna weledi wa management watu wa chini yako watakusagia kunguni uonekane kazi hujui.

Ukiwa kiongozi lazima ujali maslahi ya unawaongoza
 
Sijui watanzania muhakikishiwe vipi huyo mama tunalazimisha tu hiyo nafasi sio ya size yake.

Hivi unawezaje kukosea kufanya teuzi za nafasi sensitive kama hizo unabadili makatibu wakuu na DG wa usalama kirahisi kushinda mawaziri.

Hizo teuzi sio za mzaha kama za ma DC, kubadili badili hao watu ni ishara tosha huyo mama ashauriki katika mambo muhimu ya usalama na dira ya nchi.

Kashikwa akili na genge la wahuni kama washauri wake wakimwambia weka mzanzibari anadhani atavumilia uharibifu unaofanywa na genge la wahuni; kwa taarifa yake hakuna nyoka wazalendo wa Tanzania kama wanaotokea visiwani.

Busara ni kumshauri huyo mama kutofikiria 2025 ameshaharibu nchi vya kutosha ndani ya muda mfupi.
Mbona nchi inakwenda vizuri na inazidi kuimarika katika kila sekta na hata watanzania wanafuraha zaidi kuliko awamu ya tano labda uwe Bogus na mvivu, utaona tabu.
 
Leo Rais Samia ametumbua aliyekuwa Boss wa TISS (Usalama wa Taifa), Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi na kumeteua Boss Mpya Balozi Ali Idi Siwa

Wanajamavi, watu wenye connection, wajuzi wa mambo, tuambiane nini chanzo cha Massoro kuliwa kichwa mapema hivi?

Soma:
- Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
Bro kawaida huwa kunakuwaga na serIkali nyuma ya serikali na Yule unaemdhania ndie sie. Ila nakuhakikishia hii nchi kama hao invisible government wataendelea kuwepo sahaun maendeleo endelevu.
 
Back
Top Bottom