Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na hao manamba waliosoma kwa kukariri. Hata ukitumia 1/100 ya ubongo wako utaona kuna kitu kisicho cha kawaida kwenye huu uteuzi.Kumbe ni normal eeehhh
Kumbe ni normal eeehhh
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Anaweka mwenye uwezo wa kung'oa meno na kucha za wasiotii mamlaka,,
Kwani Siwa ni wa kizimkazi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787]Itakuwa hatoki Kimkazi.
[emoji15][emoji15]Waha wabishi hawataki kuburuzwa..period
Ujinga huo....Sijui watanzania muhakikishiwe vipi huyo mama tunalazimisha tu hiyo nafasi sio ya size yake.
Hivi unawezaje kukosea kufanya teuzi za nafasi sensitive kama hizo unabadili makatibu wakuu na DG wa usalama kirahisi kushinda mawaziri.
Hizo teuzi sio za mzaha kama za ma DC, kubadili badili hao watu ni ishara tosha huyo mama ashauriki katika mambo muhimu ya usalama na dira ya nchi.
Kashikwa akili na genge la wahuni kama washauri wake wakimwambia weka mzanzibari anadhani atavumilia uharibifu unaofanywa na genge la wahuni; kwa taarifa yake hakuna nyoka wazalendo wa Tanzania kama wanaotokea visiwani.
Busara ni kumshauri huyo mama kutofikiria 2025 ameshaharibu nchi vya kutosha ndani ya muda mfupi.