Nini Siri ya Rais Samia "Kumtumbua Boss" Usalama wa Taifa?

Nini Siri ya Rais Samia "Kumtumbua Boss" Usalama wa Taifa?

Sijui watanzania muhakikishiwe vipi huyo mama tunalazimisha tu hiyo nafasi sio ya size yake.

Hivi unawezaje kukosea kufanya teuzi za nafasi sensitive kama hizo unabadili makatibu wakuu na DG wa usalama kirahisi kushinda mawaziri.

Hizo teuzi sio za mzaha kama za ma DC, kubadili badili hao watu ni ishara tosha huyo mama ashauriki katika mambo muhimu ya usalama na dira ya nchi.

Kashikwa akili na genge la wahuni kama washauri wake wakimwambia weka mzanzibari anadhani atavumilia uharibifu unaofanywa na genge la wahuni; kwa taarifa yake hakuna nyoka wazalendo wa Tanzania kama wanaotokea visiwani.

Busara ni kumshauri huyo mama kutofikiria 2025 ameshaharibu nchi vya kutosha ndani ya muda mfupi.
Mmbwa mmmoja ww,Samia kafanya mengi mazuri ukilinganisha na yule shhetani mmuaji aliyepora fedha zetu
 
Rais Samia piga kazi usisikilize maneno ya wakatisha tamaa. Balozi Siwa ni mtu mnyenyekevu, mpole kama Membe na wanafanana wajihi. Ataimudu idara ila aanze na kuwachomoa machekbob wa kwenye idara hiyo wakale uDAS. Afanye usafi wa nguvu
 
Back
Top Bottom