Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Basi tufanye siyo goli.Wanawakamia kwa sbb ya ulozi wenu...na marefa kuwabeba..goli la leo mchezaji wa mashujaa kafanyiwa rafu mbaya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tufanye siyo goli.Wanawakamia kwa sbb ya ulozi wenu...na marefa kuwabeba..goli la leo mchezaji wa mashujaa kafanyiwa rafu mbaya...
Ukweli mtupuNimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga.
Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila aina ya mbinu either chafu or Nzuri kupata matokeo au kutoa droo.
Yanga imekua muhanga wa timu nyingi kupoteza muda pamoja na kupaki basi pindi zichezapo na yanga hili ni tofauti kabisa na timu nyingine zinapokutana iwe Azam, Simba, Singida united et al timu zinafunguka na kucheza mpira. Je ni ile idadi kubwa ya magoli yaliyokua yanafungwa na Yanga?
Alipata kusema Ali Kamwe mashabiki wa Yanga wanadhulumiwa viingilio vyao kwa aina hii ya uchezaji wa timu pinzani, na bongo bado tatizo la kuongeza muda uliopotea ni tatizo zinapotezwa dakika nyingi ila utashangaa zinaongezwa dakika 3 kama vile wamekariri kwamba ni lazima ziwe tatu au nne wakati kuna gemu unaona kabisa zinatakiwa kuongezwa hata dakika 10.
Nimeangalia gemu ya Tabora United vs Simba, Tabora united walifunguka na wakawa wanapishana na wachezaji wa simba ndio maana wakawa wanaacha nafasi na kuchezea magoli 4 japo magoli mengine yalikua mepesi sana asante golikipa Nobo.
Ni wakati wa Tff kuja na muarobaini wa hizi timu zinazopoteza muda wanatunyima ladha ya mpira, wanatukatili viingilio vyetu mashabiki.
Kwanini hiyo ya google huitaki wakati ulikandwa,ukiwa unaelezea jambo usiwe biased kuzungumza eleza kila kitu maana historia haifutiki kama tar ya uhuru vile, tunaweka mambo sawa ili vizazi ijue historia halisi nani kafungwa magoli menginaona unazungumzia mambo ya google miaka ileee zungumzia ishu ya juzi juzi hapo.
We ndo umeongea ukweli,hapa umeweka ushabiki pembeniHakuna hata kukamia ila timu ya Yanga wachezaji wamerudi chini viwango vyao kutokana na mapumziko waliyopewa
Sisi tulianza na 5-0 ndio mkaja na sita kama vp tutarudi tu huko tulikowabikiri kwa 5-0Kwa nini tusirudi kwenye zile 5-0 ambazo hamjazilipa,achilia mbali zile 6-0?sizungumzii nne nne ambazo mmepigwa nyingi tu
Hakuna cha mapumziko..hawa mammbwa madawa yao ya kichawi yameanza kuisha nguvuHakuna hata kukamia ila timu ya Yanga wachezaji wamerudi chini viwango vyao kutokana na mapumziko waliyopewa
Kwani kuwa bingwa wa kihistoria sio google?naona unazungumzia mambo ya google miaka ileee zungumzia ishu ya juzi juzi hapo.
Angalia vizuriWanawakamia kwa sbb ya ulozi wenu...na marefa kuwabeba..goli la leo mchezaji wa mashujaa kafanyiwa rafu mbaya...
Mimi Nadhani hii ni advantage kwa Yanga maana wanakomazwa. Hii itawasaidia hasa watakavyokuwa wanacheza na timu za nje.Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga.
Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila aina ya mbinu either chafu or Nzuri kupata matokeo au kutoa droo.
Yanga imekua muhanga wa timu nyingi kupoteza muda pamoja na kupaki basi pindi zichezapo na yanga hili ni tofauti kabisa na timu nyingine zinapokutana iwe Azam, Simba, Singida united et al timu zinafunguka na kucheza mpira. Je ni ile idadi kubwa ya magoli yaliyokua yanafungwa na Yanga?
Alipata kusema Ali Kamwe mashabiki wa Yanga wanadhulumiwa viingilio vyao kwa aina hii ya uchezaji wa timu pinzani, na bongo bado tatizo la kuongeza muda uliopotea ni tatizo zinapotezwa dakika nyingi ila utashangaa zinaongezwa dakika 3 kama vile wamekariri kwamba ni lazima ziwe tatu au nne wakati kuna gemu unaona kabisa zinatakiwa kuongezwa hata dakika 10.
Nimeangalia gemu ya Tabora United vs Simba, Tabora united walifunguka na wakawa wanapishana na wachezaji wa simba ndio maana wakawa wanaacha nafasi na kuchezea magoli 4 japo magoli mengine yalikua mepesi sana asante golikipa Nobo.
Ni wakati wa Tff kuja na muarobaini wa hizi timu zinazopoteza muda wanatunyima ladha ya mpira, wanatukatili viingilio vyetu mashabiki.
Baada ya kupata la pili eeBasi tufanye siyo goli.
Dai 6-0 zako tu, 5-0 ulikopeshwa ndio ukalipa, hivi sasa umekopeshwa tena 5-1Kwa nini tusirudi kwenye zile 5-0 ambazo hamjazilipa,achilia mbali zile 6-0?sizungumzii nne nne ambazo mmepigwa nyingi tu
Gadiel Michael mliyekua mnashikisha matunguli kipindi yupo kwenu now kasajiliwa ligi ya PSL South AfricaWaambieni hao wachezaji kuna maisha nje ya utopolo. Hakuna mchezaji anaeamini ulozi atasajiliwa na timu ya maana.
Wanawakamia kwa sbb ya ulozi wenu...na marefa kuwabeba..goli la leo mchezaji wa mashujaa kafanyiwa rafu mbaya...
Huyu jamaa hajui mpira kabisa, kwahiyo alitaka wachezeje?Yaani mtu na akili zako (kama unazo) unakuja na mada dhaifu kama hii!! Kukamia ndiyo nini? Yaani unataka wacheze kidhaifu ili iwe nini?
Ukizoea kubebwa na kuhonga ndiyo matokeo yake kama hivi.
Rudia kusoma mada yako mara nyingi ugundue ulivyo mwepesi.