Nini siri ya timu nyingi kuzikamia Yanga?

Kalpana Sema ukweli ahadi mnazowapa nyie na Azam 😀😀,Vp ule uchawi wa Al Hassan Mwinyi stadium uliuona? Mchana kweupeeeee.......watu mnaothubutu kuchoma moto hadi kiwanjani tena ugenini bila aibu Kwa maelekezo ya mganga?😀😀2
 
Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga.

Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila aina ya mbinu either chafu or Nzuri kupata matokeo au kutoa droo.

Yanga imekua muhanga wa timu nyingi kupoteza muda pamoja na kupaki basi pindi zichezapo na yanga hili ni tofauti kabisa na timu nyingine zinapokutana iwe Azam, Simba, Singida united et al timu zinafunguka na kucheza mpira. Je ni ile idadi kubwa ya magoli yaliyokua yanafungwa na Yanga?
Alipata kusema Ali Kamwe mashabiki wa Yanga wanadhulumiwa viingilio vyao kwa aina hii ya uchezaji wa timu pinzani, na bongo bado tatizo la kuongeza muda uliopotea ni tatizo zinapotezwa dakika nyingi ila utashangaa zinaongezwa dakika 3 kama vile wamekariri kwamba ni lazima ziwe tatu au nne wakati kuna gemu unaona kabisa zinatakiwa kuongezwa hata dakika 10.

Nimeangalia gemu ya Tabora United vs Simba, Tabora united walifunguka na wakawa wanapishana na wachezaji wa simba ndio maana wakawa wanaacha nafasi na kuchezea magoli 4 japo magoli mengine yalikua mepesi sana asante golikipa Nobo.

Ni wakati wa Tff kuja na muarobaini wa hizi timu zinazopoteza muda wanatunyima ladha ya mpira, wanatukatili viingilio vyetu mashabiki.
.
JamiiForums1381953234.jpg
 
Hakuna hata kukamia ila timu ya Yanga wachezaji wamerudi chini viwango vyao kutokana na mapumziko waliyopewa
Ila wanapumuzishwa sana nadhani kuna hajakuwa na vikosi shindani ili wengine wakienda likizo kusiwe na tofauti ya viwango
 
UPUMBAVU HAUTAKUJA KUISHA...

ULITAKA WACHEZAJI WASIKAMIANE, SASA UTAKUWA NI USHINDANI GANI AU ITAKUWA LIGI GANI???????

MUWE MNAFICHA UPUMBAVU WENU.
 
Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga.

Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila aina ya mbinu either chafu or Nzuri kupata matokeo au kutoa droo.

Yanga imekua muhanga wa timu nyingi kupoteza muda pamoja na kupaki basi pindi zichezapo na yanga hili ni tofauti kabisa na timu nyingine zinapokutana iwe Azam, Simba, Singida united et al timu zinafunguka na kucheza mpira. Je ni ile idadi kubwa ya magoli yaliyokua yanafungwa na Yanga?
Alipata kusema Ali Kamwe mashabiki wa Yanga wanadhulumiwa viingilio vyao kwa aina hii ya uchezaji wa timu pinzani, na bongo bado tatizo la kuongeza muda uliopotea ni tatizo zinapotezwa dakika nyingi ila utashangaa zinaongezwa dakika 3 kama vile wamekariri kwamba ni lazima ziwe tatu au nne wakati kuna gemu unaona kabisa zinatakiwa kuongezwa hata dakika 10.

Nimeangalia gemu ya Tabora United vs Simba, Tabora united walifunguka na wakawa wanapishana na wachezaji wa simba ndio maana wakawa wanaacha nafasi na kuchezea magoli 4 japo magoli mengine yalikua mepesi sana asante golikipa Nobo.

Ni wakati wa Tff kuja na muarobaini wa hizi timu zinazopoteza muda wanatunyima ladha ya mpira, wanatukatili viingilio vyetu mashabiki.
Utaropoka sana kama unakaribia kukata roho vile.
 
Kalpana Sema ukweli ahadi mnazowapa nyie na Azam 😀😀,Vp ule uchawi wa Al Hassan Mwinyi stadium uliuona? Mchana kweupeeeee.......watu mnaothubutu kuchoma moto hadi kiwanjani tena ugenini bila aibu Kwa maelekezo ya mganga?😀😀2
Acheni uzwazwa basi mtani...ule ungekua uchawi ungechukuliwa hatua...pale Alhasan Mwinyi ni poda ya kufunika mashimo...hamuoni watu wametulia? Ingekua uchawi kusingekalika...
 
Leta ushahidi tano za yanga kuwa walozi na mm nilete ushahidi tano za simba kuwa walozi.
Picha au video ni muhimu
Nakusubria wewe kolo princess
 
Hahaha sijatunza ushahidi...hebu shusha za Simba...mr Uto
 
Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga.

Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila aina ya mbinu either chafu or Nzuri kupata matokeo au kutoa droo.

Yanga imekua muhanga wa timu nyingi kupoteza muda pamoja na kupaki basi pindi zichezapo na yanga hili ni tofauti kabisa na timu nyingine zinapokutana iwe Azam, Simba, Singida united et al timu zinafunguka na kucheza mpira. Je ni ile idadi kubwa ya magoli yaliyokua yanafungwa na Yanga?
Alipata kusema Ali Kamwe mashabiki wa Yanga wanadhulumiwa viingilio vyao kwa aina hii ya uchezaji wa timu pinzani, na bongo bado tatizo la kuongeza muda uliopotea ni tatizo zinapotezwa dakika nyingi ila utashangaa zinaongezwa dakika 3 kama vile wamekariri kwamba ni lazima ziwe tatu au nne wakati kuna gemu unaona kabisa zinatakiwa kuongezwa hata dakika 10.

Nimeangalia gemu ya Tabora United vs Simba, Tabora united walifunguka na wakawa wanapishana na wachezaji wa simba ndio maana wakawa wanaacha nafasi na kuchezea magoli 4 japo magoli mengine yalikua mepesi sana asante golikipa Nobo.

Ni wakati wa Tff kuja na muarobaini wa hizi timu zinazopoteza muda wanatunyima ladha ya mpira, wanatukatili viingilio vyetu mashabiki.

Kwahiyo mlikua mnataka mlegezewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii nchi ngumu sana aiseee
 
Yani watu wanalilia kulegezewa....
Hahahahahah
 
Yaani mtu na akili zako (kama unazo) unakuja na mada dhaifu kama hii!! Kukamia ndiyo nini? Yaani unataka wacheze kidhaifu ili iwe nini?
Ukizoea kubebwa na kuhonga ndiyo matokeo yake kama hivi.

Rudia kusoma mada yako mara nyingi ugundue ulivyo mwepesi.
Wachawi FC a.k.a Mbumbumbu FC, Makolo FC etc mna makasiriko sana..!!
 
Back
Top Bottom