Nini siri ya timu nyingi kuzikamia Yanga?

Nini siri ya timu nyingi kuzikamia Yanga?

UItakua kama,zile 5 kw 0 na 6 kwa 0 naona sasa mnataka madogo wawalegezee
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mtani Kolo jibu swali banaaa..!!! Kama una maswali kwangu niulize, lakini yangu jibu..!! Mlitulegezea ndo maana mkala mkono nyie na ndugu zenu KMC?
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mtani Kolo jibu swali banaaa..!!! Kama una maswali kwangu niulize, lakini yangu jibu..!! Mlitulegezea ndo maana mkala mkono nyie na ndugu zenu KMC?
Mtani kama hujawawi pigwa kono la nyani 5 na kono la mlemavu 6 kwa sufuria na mnyama...na unihoji...
 
naona unazungumzia mambo ya google miaka ileee zungumzia ishu ya juzi juzi hapo.
Google ipi wakati Shomari Kapombe alikuwepo kwenye kikosi kilichowapiga 5-0 na bado yupo Simbs?achilia mbali Chama,Miquisone,Mzamiru na wenzake walikuwepo juzi juzi hapa mkipigwa goli nne?usikute nabishana na vitoto vya google generation au,nyie ndio mmeanza kufuatilia mpira kwa kushawishiwa na Manara?
 
Back
Top Bottom