Nini siri ya timu nyingi kuzikamia Yanga?

Kila timu inacheza kutafuta ushindi na kama ikihisi kuzidiwa ubora na anayecheza nae basi hutafuta hata sare
Ukiwa hujaandaa timu yako vizuri ni rahisi kuhisi unakamiwa lakini si kweli unakamiwa ni ubora wako mdogo ndio unakufanya upate magoli kwa mbinde.
Ukiwa na kikosi bora huwezi kulalamika kukamiwa na wala hakuna logic kwenye kukamiwa isipokuwa ni kuzidiwa uwezo kwenye mechi husika.
 
Reactions: Tui
65% yanga bingwa, zingine ni kelele tu
Me naona waongeze kukamia ili kutuongezea ubora
 
Ukweli mtupu

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mkubwa ni mkubwa tu, Yanga ni tishio kubwa kwa Tanzania na Afrika mashariki na kati kwa ujumla
 
naona unazungumzia mambo ya google miaka ileee zungumzia ishu ya juzi juzi hapo.
Kwanini hiyo ya google huitaki wakati ulikandwa,ukiwa unaelezea jambo usiwe biased kuzungumza eleza kila kitu maana historia haifutiki kama tar ya uhuru vile, tunaweka mambo sawa ili vizazi ijue historia halisi nani kafungwa magoli mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini tusirudi kwenye zile 5-0 ambazo hamjazilipa,achilia mbali zile 6-0?sizungumzii nne nne ambazo mmepigwa nyingi tu
Sisi tulianza na 5-0 ndio mkaja na sita kama vp tutarudi tu huko tulikowabikiri kwa 5-0
 
Hakuna hata kukamia ila timu ya Yanga wachezaji wamerudi chini viwango vyao kutokana na mapumziko waliyopewa
Hakuna cha mapumziko..hawa mammbwa madawa yao ya kichawi yameanza kuisha nguvu
 
Siyo bure, watakuwa wanaagizwa na Makolo Wizard wakishirikiana na baba yao Tifua tifua
 
Mimi Nadhani hii ni advantage kwa Yanga maana wanakomazwa. Hii itawasaidia hasa watakavyokuwa wanacheza na timu za nje.
Ona
View: https://youtu.be/dhwZHL_-Y8E
 
Kwa nini tusirudi kwenye zile 5-0 ambazo hamjazilipa,achilia mbali zile 6-0?sizungumzii nne nne ambazo mmepigwa nyingi tu
Dai 6-0 zako tu, 5-0 ulikopeshwa ndio ukalipa, hivi sasa umekopeshwa tena 5-1
 
Waambieni hao wachezaji kuna maisha nje ya utopolo. Hakuna mchezaji anaeamini ulozi atasajiliwa na timu ya maana.
Gadiel Michael mliyekua mnashikisha matunguli kipindi yupo kwenu now kasajiliwa ligi ya PSL South Africa
 
Anaekamia anatafuta sare na huku akijaribu kuvizia goli la ngekewa la kauta atak.
Wewe ndugu yangu umegaragazwa [emoji2772]G bado unasema watu wamekukamia?
Huko serious kwa kweli.
 
Wanawakamia kwa sbb ya ulozi wenu...na marefa kuwabeba..goli la leo mchezaji wa mashujaa kafanyiwa rafu mbaya...

Acha soka huliwezi kabeti kwenye miereka
 
Huyu jamaa hajui mpira kabisa, kwahiyo alitaka wachezeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…