Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
π π π π π Mtani Kolo jibu swali banaaa..!!! Kama una maswali kwangu niulize, lakini yangu jibu..!! Mlitulegezea ndo maana mkala mkono nyie na ndugu zenu KMC?UItakua kama,zile 5 kw 0 na 6 kwa 0 naona sasa mnataka madogo wawalegezee
Mabingwa wa shirki mlipigwa faini huko kwa Madiba..!! Wakawaita kwa lugha laini kwamba mmefanya tambiko hatarishi..!! Kifupi ilikuwa uchawiVitaulo fc mbingwa wa shirki π
Endeleeni kuloga wawalegezeeMabingwa wa shirki mlipigwa faini huko kwa Madiba..!! Wakawaita kwa lugha laini kwamba mmefanya tambiko hatarishi..!! Kifupi ilikuwa uchawi
Mtani kama hujawawi pigwa kono la nyani 5 na kono la mlemavu 6 kwa sufuria na mnyama...na unihoji...π π π π π Mtani Kolo jibu swali banaaa..!!! Kama una maswali kwangu niulize, lakini yangu jibu..!! Mlitulegezea ndo maana mkala mkono nyie na ndugu zenu KMC?
Google ipi wakati Shomari Kapombe alikuwepo kwenye kikosi kilichowapiga 5-0 na bado yupo Simbs?achilia mbali Chama,Miquisone,Mzamiru na wenzake walikuwepo juzi juzi hapa mkipigwa goli nne?usikute nabishana na vitoto vya google generation au,nyie ndio mmeanza kufuatilia mpira kwa kushawishiwa na Manara?naona unazungumzia mambo ya google miaka ileee zungumzia ishu ya juzi juzi hapo.